Kama unataka amani mwambie muhindi huyo muhesabie siku ambazo dume lako hakuwepo, na mkumbushe aliporudi ilikuwa ngumi na ndio ukalala nae.
Sasa hapo akikuelewa mwambia akuondoe hapo nchini, wahindi wengi wanajua ya nje ya nchi. Atakupeleka nchi moja ukaishi uzae ulelee mwanao na huyo askari hata kusumbua.
Tena mwambie ndio na yeye haitajulikana hata kwa baba yake na mkewe maana ni aibu na walimwaminia kukuweka kwake.
Ila na wewe ukome tamaa za waume wa watu, utazani weye ndio bikira peke yako. Hapo kumtenda mke wa muhindi ni tamaa yako na ndio imekuponza. Inaelekea hautabadilika ila omba Mungu akuondolee ugonjwa wa kupenda hilo mguu la tatu.
Kama hii story ya kwako vile?? Samahani kama nimekosea!
yaani watu wengine bana..
Hapa najiuliza id yako ya siku zote ni ipi? Halafu eti 'umefanywa'. Hujui hata lugha ya kujiheshimu? Shigongo mwingine?
asitoe, huyo mtoto atakuwa rais wa tanganyika miaka 53 ijayo.
Hao wahindi wasiokuwa na ubaguzi wanapatikana wapi? Halafu huyo mama wa kihindi wa kukuacha sebuleni na mumewe atakuwa na asili ya mtogole!
Haya sasa JF members kwa wale watundu wa mambo kwa uandishi huu unahisi huyu atakua ni nani? Kwa kusoma hio trend na aina yake ya uandishi unahisi atakua ni nani hasa huyu kati ya hawa? Paloma lara 1 Mamndenyi Aine sweetlady tinna cute kyanakomuhaya ICHANA angelicious
au wale Ma-sister doo wa Jukwaaa la mambo ya Kikubwa???? Lazima ni mmoja kati ya hao. Good day ngoja nifanye kazi sasa
Mkuu Elli, mimi sina kipaji cha kutunga hadithi kama MziziMkavu/Shigongo, napenda kusoma hadithi tu ila kutunga sina kipaji hicho, na hata kama nina story sina haja ya kubadili id yangu, why should i change my id!!!! halafu basi mimi ni mke wa mtu tena mwenye watoto 3, tena ninayemjua Mungu na kumtumikiaHaya sasa JF members kwa wale watundu wa mambo kwa uandishi huu unahisi huyu atakua ni nani? Kwa kusoma hio trend na aina yake ya uandishi unahisi atakua ni nani hasa huyu kati ya hawa? Paloma lara 1 Mamndenyi Aine sweetlady tinna cute kyanakomuhaya ICHANA angelicious
au wale Ma-sister doo wa Jukwaaa la mambo ya Kikubwa???? Lazima ni mmoja kati ya hao. Good day ngoja nifanye kazi sasa