Jumanne Mkota
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 3,007
- 1,781
WANABODI WOTE KIMENUKA
Imetoka oder kutoka mamlaka juu kuwa mawazir na manaibu wote waondoe plate number za mawaziri na manaibu mawaziri kwenye magari na waweke zile za STK na hakuna kupeperusha Bendera ya Taifa kwenye Magari.
Hapa Nipo jimboni Mwanga Maghembe ameanza kutumia gari yake Prado T 206 AZY. Gari la wizara naona limepaki Mwanga Motel anapolala Dereva. Yeye kaenda Usangi na Prado lake na Dereva wa Mkewe
Chanzo: mimi Mwenyewe na Dereva wa serikali anayemuendesha Maghembe
Safi sana AMRI ya JK ni kama moto wa jangwa husambaa haraka na husafisha eno vizuri
Tatizo letu watanzania tunadanganyika na vitu vidogo vidogo sana na ndo mana mtu yupo tayari kumpigia KURA mgombea aliempa Tshirt, kanga au kofia....!! Kutumia au kutotumia W au NW kunatusaidia nini sisi wananchi wa kawaida??
wee kweli hamnazo yaani unasifia amri inayokuja baada ya wapinzani kutishia kuitisha maandamano ya kumwondoa madarakani? Hakuna rais zuzu kama huyu, kweli hawezi kuwafukuza mawaziri wala kuchukua hatua stahiki serikalini hadi bunge liseme? The worst president ever been and will never be in our country.Safi sana AMRI ya JK ni kama moto wa jangwa husambaa haraka na husafisha eno vizuri
Bado una nguvu ya kuandika? Hivi huyu JK ni nani yako mpaka anakufanya uwe kama mwehu kwa kumsifia pale ambapo hapastahili hat kidogo? Anatembea na mkeo nn?Safi sana AMRI ya JK ni kama moto wa jangwa husambaa haraka na husafisha eno vizuri
Safi sana AMRI ya JK ni kama moto wa jangwa husambaa haraka na husafisha eno vizuri