Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,789
- 218,420
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !Kuna mtu alikuwa mbabe sana,ulinzi wa ajabu.lakini Mungu kasema yatosha,umewadharau binadamu wenzako
Watu wanajaa hadi mapangoni😅😅Imefahamika sasa kwamba kazi ya Kitume inayofanywa na Chadema , ya kusajili Wanachama wake kwa njia ya kisasa iitwayo Chadema Digital ni kama MHURI WA MOTO , ni alama isiyofutika , iko kama chanjo ya NDUI , kila anayejisajili anahisi kama sasa ndio kapewa Uraia wa Tanzania .
Njama zote za kishamba za kuzuia wenye kumbi za mikutano kuwapa kumbi hizo Chadema zimegonga mwamba , na zimeshindwa kuzuia mafuriko ya wananchi kujitokeza kusajiliwa , Tunazo taarifa za wenye kumbi kupewa vitisho ambapo wameelezwa kwamba atakayeruhusu Chadema Digital kwenye ukumbi wake atapewa kesi ya Uhujumu Uchumi ama utakatishaji pesa , Wilaya ya Kyela ni miongoni mwa maeneo kulikotolewa onyo hili , ambako CHADEMA DIGITAL ilifanyika kwenye Ukumbi wa MUNGU , chini ya miti na kufanikiwa kwa kishindo . Nachukua nafasi hii kuwapongeza Wenye kumbi za mikutano waliopuuza Vitisho na kukubali Chadema digital kwenye kumbi zao , Wala hawana haja ya kuogopa , kwa vile Hakuna mahali popote kwenye dunia tuliyomo ambako SHETANI aliwahi kumshinda Mungu .
Maeneo mengine walikozuiliwa waliamua kufanyia Usajili kwenye Kolido na kwenye vichochoro vya wazi , lakini zoezi hili halijawahi kukwama na halitasimama , Gari lishawaka , Pisha njia .
View attachment 2021336
Ulizaliwa njiti ?Chadema digital ndiyo nini mkuu?
una umri gani ?Ndio kitu gani kwanza hiko?
Mbona havihusiani Mkuu?una umri gani ?
Jibu swali acha utoto.Ulizaliwa njiti ?
Watoto hawana uwezo wa kutafakari vizuriMbona havihusiani Mkuu?
Si useme ndio kitu gani hiko?Watoto hawana uwezo wa kutafakari vizuri
Shikilia hapo hapo.Imefahamika sasa kwamba kazi ya Kitume inayofanywa na Chadema , ya kusajili Wanachama wake kwa njia ya kisasa iitwayo Chadema Digital ni kama MHURI WA MOTO , ni alama isiyofutika , iko kama chanjo ya NDUI , kila anayejisajili anahisi kama sasa ndio kapewa Uraia wa Tanzania .
Njama zote za kishamba za kuzuia wenye kumbi za mikutano kuwapa kumbi hizo Chadema zimegonga mwamba , na zimeshindwa kuzuia mafuriko ya wananchi kujitokeza kusajiliwa , Tunazo taarifa za wenye kumbi kupewa vitisho ambapo wameelezwa kwamba atakayeruhusu Chadema Digital kwenye ukumbi wake atapewa kesi ya Uhujumu Uchumi ama utakatishaji pesa , Wilaya ya Kyela ni miongoni mwa maeneo kulikotolewa onyo hili , ambako CHADEMA DIGITAL ilifanyika kwenye Ukumbi wa MUNGU , chini ya miti na kufanikiwa kwa kishindo . Nachukua nafasi hii kuwapongeza Wenye kumbi za mikutano waliopuuza Vitisho na kukubali Chadema digital kwenye kumbi zao , Wala hawana haja ya kuogopa , kwa vile Hakuna mahali popote kwenye dunia tuliyomo ambako SHETANI aliwahi kumshinda Mungu .
Maeneo mengine walikozuiliwa waliamua kufanyia Usajili kwenye Kolido na kwenye vichochoro vya wazi , lakini zoezi hili halijawahi kukwama na halitasimama , Gari lishawaka , Pisha njia .
View attachment 2021336
Unajichosha na kukimbiza upepo mpaka unatia huruma. Agiza bia nakuja kulipaImefahamika sasa kwamba kazi ya Kitume inayofanywa na Chadema , ya kusajili Wanachama wake kwa njia ya kisasa iitwayo Chadema Digital ni kama MHURI WA MOTO , ni alama isiyofutika , iko kama chanjo ya NDUI , kila anayejisajili anahisi kama sasa ndio kapewa Uraia wa Tanzania .
Njama zote za kishamba za kuzuia wenye kumbi za mikutano kuwapa kumbi hizo Chadema zimegonga mwamba , na zimeshindwa kuzuia mafuriko ya wananchi kujitokeza kusajiliwa , Tunazo taarifa za wenye kumbi kupewa vitisho ambapo wameelezwa kwamba atakayeruhusu Chadema Digital kwenye ukumbi wake atapewa kesi ya Uhujumu Uchumi ama utakatishaji pesa , Wilaya ya Kyela ni miongoni mwa maeneo kulikotolewa onyo hili , ambako CHADEMA DIGITAL ilifanyika kwenye Ukumbi wa MUNGU , chini ya miti na kufanikiwa kwa kishindo . Nachukua nafasi hii kuwapongeza Wenye kumbi za mikutano waliopuuza Vitisho na kukubali Chadema digital kwenye kumbi zao , Wala hawana haja ya kuogopa , kwa vile Hakuna mahali popote kwenye dunia tuliyomo ambako SHETANI aliwahi kumshinda Mungu .
Maeneo mengine walikozuiliwa waliamua kufanyia Usajili kwenye Kolido na kwenye vichochoro vya wazi , lakini zoezi hili halijawahi kukwama na halitasimama , Gari lishawaka , Pisha njia .
View attachment 2021336
Tushasambaza upupu nchi nzima .Shikilia hapo hapo.
Huo usajiri wa kwenye uchochoro na chini ya miti, huo ndio usajiri wa kweli, achana na hayo maukumbi, hayasaidii chochote.
Huko kwenye kumbi hata mainzi mengi yanakuja kuchafua kazi zenu.
Ofisi ya kwanza ni WatuJENGENI OFISI ILE
Ofisi ziko vichwani.JENGENI OFISI ILE