kama kuna kitu nakifurahia na kumshukuru MUNGU ni ile hali ya kuweza kujizuia kumtongoza au kumshinikiza mwanamke ambaye si mpenzi wangu anipe penzi hata kama nyumba nzima tubaki mimi na yeye tu. nahisi naanza kustaarabika na kuwapa wanawake heshima inayotakiwa, si jambo jema kutumia nafasi uliyonayo kumnyanyasa binadamu mwenzio. mahousegirl wamekuwa waangaa wa hili jambo hawapendi ila hawana jinsi.hivi unaanzaje kumkataa mtoto wa boss dah poleni sana.