Ukweli taifa la Israel:Taifa hili liko wapi? Je, ndio hao waliopo sasa?

KijanaHuru

KijanaHuru

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2017
Messages
911
Points
1,000
KijanaHuru

KijanaHuru

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2017
911 1,000
habari ya leo, poleni na majukumu na pilikapilika za kutwa,
Nishaona baadhi ya maswali mbalimbali hapa jf watu tukiulizana juu ya taifa la Israel kwamba je ndio hao walipo hapo sasa Israel? Au sio hao?
Tumekuwa na majibu tofauti tofauti kabisa juu ya hili, pia katika baadhi ya hoja nishawahi kuahidi yakuwa nitajitahidi kuleta hapa maelezo kwa mujibu wa Biblia hawa watu wako wapi na ni akina nani waliopo sasa?

nianze kwa kumshukuru Mungu kwa kunipa nafasi hii na mimi leo naenda kueleza kwa kufuata Neno la Mungu(Biblia) natumia kitabu hiki sababu ndio nakielewa zaidi na nimekisoma zaidi huenda kuliko vitabu vingine.

Nikiulizwa kuwa Israeli ya sasa ndio Israeli Inayotajwa na Biblia basi ni kwaherufi Kubwa jibu ni HAPANA yaani BIG NO Israeli yasasa sio taifa lile ambalo tumekuwa tukilisoma katika vitabu vya dini japo ardhi ni yenyewe ila naomba uelewe yakuwa wakaaji wa ile ardhi ni wavamizi tu, wala sio ardhi yao ile.
Kuna baadhi ya watu watakuwa wanashanaa sana ninapoliongelea hili hiyo nikutokana na jinsi ambavyo wamekuwa wakikaririshwa Neno la Mungu pasipo kulielewa vyema.
japo sijisifu kuwa mimi nalielewa vyema ila nikutokana na waumini wengi tunapenda sana kumezeshwa na kutafuniwa kuliko kutafuna wenyewe.

Sasa naanza kuitetea hoja yangu kwa namna hii
Kwanza kabisa nilazima tuweze kuelewa jambo moja linaloitwa ESCHATOLOGY, eschatology hii ni elimu inayoelezea matukio ya siku za mwisho, kupitia matukio ya siku za mwisho ndio tutaweza kupata jibu zuri sana juu ya taifa la Israel, pia unaweza uka-google kwa kulielewa zaidi maana mimi nimetoa maelezo kwa ufupi tu ili uweze kujua naongelea nini(kwa wale wasiojua)
Kwa lugha nyingine tunasema ni kipindi cha kanisa hadi kufikia Millenium (utanielewa mbele nini naongelea)

Ili Uiweze kunipata vizuri naomba nikugusie mgawanyiko wa vipindi vya maisha ya mwanadamu kwa mfumo huu
1.The Age Of Innocence
-Hiki ni kipindi cha uumbaji hadi kipindi cha kuanguka kwa Mwanadamu(Anguko)

2.The Age Of Conscience
-Hiki ni kipindi cha mwanadamu Kutoka anguko hadi Gharika Kuu

3.The Age Of Goverment
-Hiki ni kipindi ambacho mwanadamu aliishi kutoka Gharika kuu hadi kipindi cha Lutu

4.The Patriarchal Age
-Hiki ni Kipindi cha Abrahamu Hadi kipindi cha Musa

5.The Age Of law
-Hiki Nikipindi cha Musa hadi Kipindi cha Yesu Kristo

6.The Age Of The Church
-Hiki Ni Kipindi kutoka Pentekoste Hadi unyakuo wa Kwanza (kunyakuliwa kwa Kanisa)

7.The Millennium Age
-Hiki ni kipindi Cha ufunuo hadi Kunyakuliwa kwa kanisa.

Tunapokuwa tunazungumzia Eschatology hayo mambo saba Juu n ya Muhimu mno kuyajua, kile kipengele cha sita ni ule unyakuo wa kwanza tunakuja unyakuo wa pili ambapo ndio ile tunasema The Second Coming of The Christ, kutoka hapo Mwanadamu Ataingia katika Kipindi cha The Millennium

Sasa katika kipindi hiki cha Millennium Ndio unakuja kukutana na taifa la Israel lenyewe halisia

1.The Restoration Of Israel
Kwanza Israel
atarudishwa nyumbani kwake katika nchi yake ya ahadi na atarudishwa kuwa taifa tena
Mwanzo 12:1-3, Unaposoma hapo Mwanzo Unapata zile ahadi ambazo zinatolewa juu ya taifa hili sasa Angalia hapa
Kumbukumbu la Torati 4:30-31 " 30 Utakapokuwa katika dhiki kali na maneno yote haya yawe yamekupata mwishoni mwa siku hizo, basi utarudi kwa Yehova Mungu+ wako na kuisikiliza sauti yake.+ 31 Kwa maana Yehova Mungu wako ni Mungu mwenye rehema.+ Hatakutupa wala kukuharibu wala kulisahau agano+ la mababu zako ambalo aliwaapia."
kuikazia hoja hii unaweza kuanza tena kwa kusoma Kumb 4:1-6

Kuna watu wanaweza kujiuliza ama kudai kwamba haya maneno yalikuwa ni kwa wakati ule wala sio sasa naweza kukuongeza jambo hili lililofichika ambalo wengi wao hawataki mlijue wala si wachungaji wala maaskofu hawafundishwi huko vyuoni ila yapo katika vitabu tu nikwamba wao watafute kwa bidii yao tu, nikwamba kila kitabu kilikuwa kina kinaandikwa kwa lengo fulani na kwa watu fulani na kwajamii fulani kwa muda fulani(ukiweza kupata msaada kuyajua kwa kila msingi wa kitabu utapata Mengi sana yaliyofichika

Naendelea hapo hapo juu kueleza juu ya Israel kurudishwa nyumbani kwakwe katika taifa lake angalia tena hapa
2Sam 7:10 "10 Nami hakika nitachagua mahali+ kwa ajili ya watu wangu Israeli na kuwapanda,+nao hakika watakaa mahali walipo, nao hawatasumbuliwa tena; na wana wa ukosefu wa uadilifu hawatawatesa tena kama walivyofanya hapo mwanzoni,"
Amosi 9:11-15
Isaya 27:12-13
Unapoendelea kusoma maneno Amosi na Isaya hapo juubado utaona habari ama ahadi anazoahidiwa Israeli kipindi atakapokuwa anarudishwa nyumbani kwake
Sasa angalia na hapa hii ni ahadi ambayo anapewa kipindi atakapokuwa amefika Nyumbani kwake
Isaya 60:1-22 Ukisoma vizuri msitari wa pili hapo utagundua kwamba hiki ndio kipindi kile cha utawala wa muovu ambapo mataifa mengine yatapata hiyo shida lakini sio kwa Israel.
Yeremia 16:14-16 "14 “‘Kwa hiyo, tazama! siku zinakuja,’+ asema Yehova, ‘wakati haitasemwa tena: “Kama anavyoishi Yehova aliyewaleta wana wa Israeli kutoka katika nchi ya Misri!.......”
Sasa endelea kusoma katika kitabu cha Ezekiel 20:34-44 ,
Warumi 11-11-27
Kuanzia hapa katika kitabu cha warumi maneno yaliyoandikwa hapa ni makubwa mno na rahisi sana kuyaelewa kiasi kwamba hata angesoma mtoto angeelewa tu. kmbuka habari zote hapa tunaangalia juu ya Israeli kuwepo utumwani na watakaporudishwa nyumbani kwao, Soma kwa msisitizo kuanzia msitari wa 17 hapo utaona vyema namna ambavyo neno linavyongea kwa wazi kabisa.
Yaani hapa katika Warumi unaona kabisa kuna mtu ambaye yupo katika unyonge na anaambiwa maneno ya faraja namna ambavyo atarudishwa tena katika miliki yake ama katika haki yake.
Endelea kusoma Tena Matendo 15:13-16

Hapo tumeangalia namna ambavyo Israel atarudishwa nyumbani kwake

2.Kutakaswa Kwa Israel(The Cleansing Of Israel)
Kwanza Kumbuka yakuwa sababu kubwa ya Israel kuwekwa utumwani nikwamba walilaaniwa kwa kumkataa Yesu Kwanini walimkataa?
Sababu kubwa mojawapo nikwamba kipindi hicho Warumi ndio walikuwa wakishikilia dola ya kipindi hicho, Yesu anapokuja wao walijua yakuwa atawaongoza kupindua utawala wa waroma, Lakini Yesu hakuja kwa Vita kama ambavyo wao walijua ndio maana wakamkataaa Yesu na walishazoea kuwa kila Nabii ambaye Mungu alikuwa akimuinua katikati yao basi alikuwa ni mpiganaji japo kwa Yesu haikuwa hivyo sasa Kwahiyo wakamkataa Yesu na Wakamsurubisha Sasa hii dhambi wataanza kusamehewa kwanza na baadaye watakuja kuondolewa laana ile ya kuwa watumwa kwa mataifa mengine
Ezekieli 36:24-28

Naomba niishie hapo tu Kwasasa Japo kamtiririko haka nikarefu mno point ilikuwa nikuonyesha kwamba katika kipindi cha mwisho Taifa la Israeli ndio linatarudishwa Nyumbani kwake.
kwa Maana Hiyo Israeli Halali Hadi sasa Hayupo Nyumbani Kwake Kabisaa, Aliyepo sasa wala siye Yeye
Yale mambo yakusema atakayembariki nami nitambariki na atakaye mlaani nami nitamlaani kwasasa hayana Nguvu maana yule sio Mhusika ila hii itakuja kuhusika mara baada ya Unyakuo wa Kwanza.

Nimefupisha sana pole kama sitaeleweka lakini kuna msingi upo ambao unaweza kukuongoza kwa kujisomea zaidi na zaidi ili kujipa maariofa na kuelewa zaidi
Maswali yanakaribishwa
 
Janken jr

Janken jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2016
Messages
884
Points
1,000
Janken jr

Janken jr

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2016
884 1,000
kiongozi sio kweli kuwa kila nabii alieinuliwa katika israel alikuwa mpiganaji wala sio hivyo.soma vzuri bibilia.pili ujumbe wako bado haujakamilika kuwakilisha kichwa cha habari,nyama yake ni nyembamba mno hoja zako hazitoshi kukataa kuwa waliopo israel ya sasa sio wayahud wa kale au kwa sasa sio taifa teule.
 
Janken jr

Janken jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2016
Messages
884
Points
1,000
Janken jr

Janken jr

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2016
884 1,000
israel ya kale ilikuwa na makabila 12 mfalme solomon alipoasi[sio suleiman wa kwenye quran] Mungu wa israel na na ABRAHAM [sio ibrahim wa quran]aliugawanya ufalme kukapatikana falme,UFAME wa YUDA ambao ulikuwa na makabila 2 na wa kaskazini ambao uliendelea kujulikana kama israel wenye makabila 10.walipoendelea kuasi wakaadhibiwa kwa kupelekwa utumwani kwa vipindi tofauti tofauti,israel ya sasa ya kisasa inaundwa na wanaoitwa masalia lakin kuna utata wa asili yao,wengi wao ni wayahudi waitwao waishkenaz kwa mtiririko wa vizazi toka kwa uzao wa wana wa nuhu waishkenazi sio wayahudi.
 
YEHODAYA

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Messages
15,083
Points
2,000
YEHODAYA

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2015
15,083 2,000
mleta mada koloni pekee ambalo waafrika tunalo ni Israel tu,Africa imetawaliwa na nchi kibao ila Africa ina eneo moja tu ililolishika kutawala kupitia watoto wa Africa ambayo ni Israeli.Mleta mada unaacha kutetea ndugu zako waisraeli umekomalia kutetea wafilisti wanaojiita wapalestina.Uwe na uzalendo

Waisrael wote ni waafrika Na watoto na wajukuu wa Afrika. Kwa sheria za kuzaliwa mtu aliyezaliwa nchi ingine huwa raia wa nchi husika. Waisraeli wazazi wao akina Musa nk walizaliwa misri Afrika wakahamia israel.Wakaishika kama koloni lao Kwao ni africa sawa na mchaga akizaliwa dar akiulizwa kwenu wapi anasema moshi. waisrael ni waafrika Wenzetu waliohamia Israel. Ndio maana hata Yesu alipotaka kuuawa na Herode israel aliamua kukimbilia kwao Misri Afrika akarudi baada Ya Herode kufa. Alikumbuka kwao. Israel inabidi wakumbuke kwao wasidharau Afrika. Africa ilihifadhi musa na Africa iliihifadhi Yesu asiuawe na Herode hata Yesu alipokuwa akipelekwa kusubiwa Mwafrika Simon mkirene mtu wa Ethiopia Africa aliyekuwa akiishi Israel alibeba msalaba ili yesu asiendelee kupigwa mijeledi kwani hakuwa Na uwezo wa kuendelea kubeba msalaba kwa mateso waliyompa. Wengine walikataa kuubeba Mswahili mwafrika akakumbuka damu nzito kuliko Maji akamsaidia ndugu yake mwafrika Yesu. Mungu tukumbuke waafrika
 
ISIS

ISIS

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2016
Messages
91,597
Points
2,000
ISIS

ISIS

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2016
91,597 2,000
mleta mada koloni pekee ambalo waafrika tunalo ni Israel tu,Africa imetawaliwa na nchi kibao ila Africa ina eneo moja tu ililolishika kutawala kupitia watoto wa Africa ambayo ni Israeli.Mleta mada unaacha kutetea ndugu zako waisraeli umekomalia kutetea wafilisti wanaojiita wapalestina.Uwe na uzalendo

Waisrael wote ni waafrika Na watoto na wajukuu wa Afrika. Kwa sheria za kuzaliwa mtu aliyezaliwa nchi ingine huwa raia wa nchi husika. Waisraeli wazazi wao akina Musa nk walizaliwa misri Afrika wakahamia israel.Wakaishika kama koloni lao Kwao ni africa sawa na mchaga akizaliwa dar akiulizwa kwenu wapi anasema moshi. waisrael ni waafrika Wenzetu waliohamia Israel. Ndio maana hata Yesu alipotaka kuuawa na Herode israel aliamua kukimbilia kwao Misri Afrika akarudi baada Ya Herode kufa. Alikumbuka kwao. Israel inabidi wakumbuke kwao wasidharau Afrika. Africa ilihifadhi musa na Africa iliihifadhi Yesu asiuawe na Herode hata Yesu alipokuwa akipelekwa kusubiwa Mwafrika Simon mkirene mtu wa Ethiopia Africa aliyekuwa akiishi Israel alibeba msalaba ili yesu asiendelee kupigwa mijeledi kwani hakuwa Na uwezo wa kuendelea kubeba msalaba kwa mateso waliyompa. Wengine walikataa kuubeba Mswahili mwafrika akakumbuka damu nzito kuliko Maji akamsaidia ndugu yake mwafrika Ysusu. Mungu tukumbuke waafrika
Na iwe hivyo kama unenavyo walahi
mwenye Enzi Mungu ni mwaminifu sana kwetu walahi
 
ISIS

ISIS

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2016
Messages
91,597
Points
2,000
ISIS

ISIS

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2016
91,597 2,000
Jinsi utakavyo yaona maisha ndio yatakavyo kuwa kwako walahi
History imewapendelea walio iandika walahi
Dini imewapendelea walio andikika walahi
 
KijanaHuru

KijanaHuru

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2017
Messages
911
Points
1,000
KijanaHuru

KijanaHuru

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2017
911 1,000
kiongozi sio kweli kuwa kila nabii alieinuliwa katika israel alikuwa mpiganaji wala sio hivyo.soma vzuri bibilia.pili ujumbe wako bado haujakamilika kuwakilisha kichwa cha habari,nyama yake ni nyembamba mno hoja zako hazitoshi kukataa kuwa waliopo israel ya sasa sio wayahud wa kale au kwa sasa sio taifa teule.
Nikweli usemalo sio wote walikuwa wapiganaji lakini hata kama hakuwa mpiganaji bado aliruhusu majeshi yake kupigana alisimama juu ya Israel pekee
napia umeniletea ngonjera tu hapa mimi nimekueleza namna ambavyo ilivyo kwa maandiko ningependa usipinge kwa kujijadili pasipo referance sahihi
Pia kumbuka hapa naongelea ESCHATOLOGY ndani ya hiii kitu ndio unakutana na hao watu
Wawepo nchini kwao ama wasiwepo kwa mujibu wa maandiko till now wako utumwani sijajua lakini kama waielewa vyema ESCHATOLOGY.
Japo mwanzo nilihisi inaweza kuwa dozi nzito kwa wengi naona sasa
 
KijanaHuru

KijanaHuru

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2017
Messages
911
Points
1,000
KijanaHuru

KijanaHuru

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2017
911 1,000
Jinsi utakavyo yaona maisha ndio yatakavyo kuwa kwako walahi
History imewapendelea walio iandika walahi
Dini imewapendelea walio andikika walahi
Kwakweli nadhani ni hivyo
Nilisikitika sana uzi wangu mmoja haukuruhusiwa sijajua kwanini ila ulijibu maswali yote haya
 
KijanaHuru

KijanaHuru

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2017
Messages
911
Points
1,000
KijanaHuru

KijanaHuru

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2017
911 1,000
kiongozi sio kweli kuwa kila nabii alieinuliwa katika israel alikuwa mpiganaji wala sio hivyo.soma vzuri bibilia.pili ujumbe wako bado haujakamilika kuwakilisha kichwa cha habari,nyama yake ni nyembamba mno hoja zako hazitoshi kukataa kuwa waliopo israel ya sasa sio wayahud wa kale au kwa sasa sio taifa teule.
Pia labda nikuulize jambo unajua zile hoja ambavyo watu walitegemea Yesu angekuwaje?
 
KijanaHuru

KijanaHuru

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2017
Messages
911
Points
1,000
KijanaHuru

KijanaHuru

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2017
911 1,000
mleta mada koloni pekee ambalo waafrika tunalo ni Israel tu,Africa imetawaliwa na nchi kibao ila Africa ina eneo moja tu ililolishika kutawala kupitia watoto wa Africa ambayo ni Israeli.Mleta mada unaacha kutetea ndugu zako waisraeli umekomalia kutetea wafilisti wanaojiita wapalestina.Uwe na uzalendo

Waisrael wote ni waafrika Na watoto na wajukuu wa Afrika. Kwa sheria za kuzaliwa mtu aliyezaliwa nchi ingine huwa raia wa nchi husika. Waisraeli wazazi wao akina Musa nk walizaliwa misri Afrika wakahamia israel.Wakaishika kama koloni lao Kwao ni africa sawa na mchaga akizaliwa dar akiulizwa kwenu wapi anasema moshi. waisrael ni waafrika Wenzetu waliohamia Israel. Ndio maana hata Yesu alipotaka kuuawa na Herode israel aliamua kukimbilia kwao Misri Afrika akarudi baada Ya Herode kufa. Alikumbuka kwao. Israel inabidi wakumbuke kwao wasidharau Afrika. Africa ilihifadhi musa na Africa iliihifadhi Yesu asiuawe na Herode hata Yesu alipokuwa akipelekwa kusubiwa Mwafrika Simon mkirene mtu wa Ethiopia Africa aliyekuwa akiishi Israel alibeba msalaba ili yesu asiendelee kupigwa mijeledi kwani hakuwa Na uwezo wa kuendelea kubeba msalaba kwa mateso waliyompa. Wengine walikataa kuubeba Mswahili mwafrika akakumbuka damu nzito kuliko Maji akamsaidia ndugu yake mwafrika Ysusu. Mungu tukumbuke waafrika
MKuu naongelea habari ya ESCHATOLOGY wala sio historia naongelea future ambavyo inaonyesha kitatokea nini na ndio inanipa majibu ya sasa
sasa sijajua hiyo historia yako inahusianaje hapa, pia usipende kusema Waafrica ila jitahidi kutambua walikuwa ni watu wa aina gani
na kwa msingi wako inabidi hadi sasa pale wawepo watu weusi mbona kuna watu weupe?
 
KijanaHuru

KijanaHuru

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2017
Messages
911
Points
1,000
KijanaHuru

KijanaHuru

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2017
911 1,000
Lakini YEHODAYA umeilewa mada ?
 
T

thetruth2015

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2015
Messages
271
Points
250
T

thetruth2015

JF-Expert Member
Joined Jul 9, 2015
271 250
WE FALA HUJUI AA WALA BEE WALA CHEE KUHUSU TAIFA LA ISRAEL, USIJIFANYE MACHI NOO KWENYE HILI ZAIDI UNAONEKANA CRAZY TU. ISRAEL NDO ISRAEL MILELE NA MILELE
 
KijanaHuru

KijanaHuru

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2017
Messages
911
Points
1,000
KijanaHuru

KijanaHuru

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2017
911 1,000
WE FALA HUJUI AA WALA BEE WALA CHEE KUHUSU TAIFA LA ISRAEL, USIJIFANYE MACHI NOO KWENYE HILI ZAIDI UNAONEKANA CRAZY TU. ISRAEL NDO ISRAEL MILELE NA MILELE
Tatizo unakariri tu mkuu
Mimi unayeniona fala nimeleta sababu zangu pasipo matusi wala pasipo kumkejeli mtu
sasa wewe unakuja tu from no where kwa kauli zako tu za ushuzi unadhani nani atakuelewa?
jaribu kujenga hoja hapa hatubishani tnafundishana na kuelimishana jenga hoja ya msingi ikieleweka sawa sio kulazimisha mtu akubali mawazo yako wakati hauna hoja.
Tm-ko
 
T

thetruth2015

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2015
Messages
271
Points
250
T

thetruth2015

JF-Expert Member
Joined Jul 9, 2015
271 250
huna lolote yaani we kug
Tatizo unakariri tu mkuu
Mimi unayeniona fala nimeleta sababu zangu pasipo matusi wala pasipo kumkejeli mtu
sasa wewe unakuja tu from no where kwa kauli zako tu za ushuzi unadhani nani atakuelewa?
jaribu kujenga hoja hapa hatubishani tnafundishana na kuelimishana jenga hoja ya msingi ikieleweka sawa sio kulazimisha mtu akubali mawazo yako wakati hauna hoja.
Tm-ko
Huna lolote yaan wewe kugoogle tu ESCHATOLOGY leo ndo unatusumbuaaa wakati elimu hiyo umeidesa google...masikini acha ujeuri

Shida yako umekariri mkuu
Hebu jaribu kugoogle nawe pia ulete hoja yako hapa,
Napia mimi nimeongea hii kitu iko ndani ya Eschatology, sasa ka-google nawe ulete jambo la tofauti
Then sikia nikuambie mimi sijaanza kujifunza haya katika ulimwengu wa google i have my own books nasoma kwa waliosoma Theogia wanaelewa haya so usibishe kama hauna hoja leta hoja tujadiri tufikie mwafaka tuwekane sawa,
Sio unapiga kelele kama mafarisayo tu
 
Forum statistics

Threads 1,285,016
Members 494,369
Posts 30,847,424
Top