Sasa napata picha Kwanini Spika alizuia kujadili Mauaji ya Kibiti

Mahweso

JF-Expert Member
Jan 10, 2014
1,098
1,501
Nakumbuka Mnyika, Lema na Wabunge wengine wa Upinzani walivyokuwa wanaomba miongozo kuhusu mauwaji ya Kibiti na Spika na Mwigulu Waziri wa Ulinzi walivyokuwa wakali hadi kuwahusisha wanaohoji kuwa ni wahusika.

Kumbe Mauwaji ya Kibiti yalikuwa ni kwaajiri ya Lissu tu? Yaani mnauwa watu wengi vile kutengeneza utetezi?

Mungu atawaumbua tu

Litajulikana tu

Mbowe Kasema Siri huwa niyamtu 1

Lakini hiki kitu mmepanga wengi kila kitu kiko wazi.

Mungu ni mwema
 
Wewe una matatizo ya kichwa. Hukuona yaliyokuwa yanatokea MKIRU? Halafu unaleta siasa kwenye masuala serious kama yale? Ndio maana mnanyooshwa pimbi ninyi. Kila sehem mnaweka siasa zenu za kipuuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pimbi?
Wewe una matatizo ya kichwa... Hukuona yaliyokuwa yanatokea MKIRU? Halafu unaleta siasa kwenye masuala serious kama yale? Ndio maana mnanyooshwa pimbi ninyi... Kila sehem mnaweka siasa zenu za kipuuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app

"My pain may be the reason for somebody's laugh,but my laugh must never be the reason for somebody's pain"

Charlie Chaplin
 
Kwa kweli sijaelewa hebu dada fua
Nakumbuka Mnyika, Lema na Wabunge wengine wa Upinzani walivyokuwa wanaomba miongo kuhusu mauwaji ya Kibiti na Spika na Mwigulu Waziri wa Ulinzi walivyokuwa wakali hadi kuwahusisha wanaohoji kuwa ni wahusika.

Kumbe Mauwaji ya Kibiti yalikuwa ni kwaajiri ya Lissu tu? Yaani mnauwa watu wengi vile kutengeneza utetezi?

Mungu atawaumbua tu

Litajulikana tu

Mbowe Kasema Siri huwa niyamtu 1

Lakini hiki kitu mmepanga wengi kila kitu kiko wazi.

Mungu ni mwema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka Mnyika, Lema na Wabunge wengine wa Upinzani walivyokuwa wanaomba miongo kuhusu mauwaji ya Kibiti na Spika na Mwigulu Waziri wa Ulinzi walivyokuwa wakali hadi kuwahusisha wanaohoji kuwa ni wahusika.

Kumbe Mauwaji ya Kibiti yalikuwa ni kwaajiri ya Lissu tu? Yaani mnauwa watu wengi vile kutengeneza utetezi?

Mungu atawaumbua tu

Litajulikana tu

Mbowe Kasema Siri huwa niyamtu 1

Lakini hiki kitu mmepanga wengi kila kitu kiko wazi.

Mungu ni mwema
Wewe ni mpuuzi, kwanini Kibiti na, sehemu nyingine..?
Siasa huondoa akili na kubaki kama zuzu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom