Kipenzi Chao
Member
- Oct 12, 2010
- 99
- 4
Tutafutane tuunganishe nguvu hii...! Nami natamani kupata support ya kuunganisha nguvu ili tuing'oe kisiki fulani, bado naogopa kukitaja lakini lazima niombee kwa Mungu na kuiwekea mikakati hiyo...! Please, I need your support especially to convince women...!mimi nimeshajiunga uanachama wa CHADEMA na nimehamasisha wamama wengine kama 4 na wameshajiunga tuko A towm maeneo ya kijenge na sitaishia hapo wandugu zangu huko mto wa mbu ndio wananisikitisha sana wanamuona EL kama mungu fulani hivi na huko nako nitaanza za chini chini mpaka kieleweke.
operation nyangumi!! Hiyo safi sana.
Uchaguzi wa mwaka 2010 umekuwa somo kubwa sana katika maisha yangu.
Baada ya kuishi miaka 30(umri wangu) katika maisha ya mazoea na kukata tamaa, sasa nina amini nchi hii kuna watu wanaoweza kuwaamsha Watanzania na kuleta mageuzi ya kisiasa na kiutawala yanayoweza kuleta uwiano wenye usawa kimaisha katika jamii.
Jamii nyingi za Watanzania hasa vijijini ni masikini, na wengi wanadhani kuwa Mungu aliwaumba kuwa masikini na hawajui kazi ya viongozi wa kisiasa.
Ki ufupi ni kwamba ninatangaza kupitia jamii forums kuwa Ninajiunga na Chadema Rasmi.
2005 nilikipigia kura nikiwa namtambua Mbowe(Freeman).
Zito kabwe nilianza kumsikia kwenye sakata la Amina Chifupa (marehemu) kupitia magazeti ya Udaku.
Nilishtuka pale nilipojua kuwa kumbe hata Professa Gwiji la Siasa za Kimataifa, Mwesiga Baregu naye pia ni mwanachama wa chama hiki makini.
Heshima kwa Mzee Mtei.
Heshima kwa Wibroa Slaa (PhD)
Heshima kwa mwana harakati Tundu Lisu
Heshima kwa Mpiganaji Rastafarai Chacha Zakayo Wangwe (Mungu Amlaze mahala pema)
Heshima kwa Damu ya Nyerere (Vincent Nyerere, Leticia).
Watanzania Wenzangu.
Hakuna haja ya kupigana. Hakuna haja ya kutamani kufa.
Ukombozi wa chi hii upo karibu.
Matokeo ya Mwaka 2010 nimeyavulia kofia.
Sasa Tuanze na Operation Nyangumi. Twende Vijijini. Tukawaamshe
Tutafutane tuunganishe nguvu hii...! Nami natamani kupata support ya kuunganisha nguvu ili tuing'oe kisiki fulani, bado naogopa kukitaja lakini lazima niombee kwa Mungu na kuiwekea mikakati hiyo...! Please, I need your support especially to convince women...!
Uchaguzi wa mwaka 2010 umekuwa somo kubwa sana katika maisha yangu.
Baada ya kuishi miaka 30(umri wangu) katika maisha ya mazoea na kukata tamaa, sasa nina amini nchi hii kuna watu wanaoweza kuwaamsha Watanzania na kuleta mageuzi ya kisiasa na kiutawala yanayoweza kuleta uwiano wenye usawa kimaisha katika jamii.
Jamii nyingi za Watanzania hasa vijijini ni masikini, na wengi wanadhani kuwa Mungu aliwaumba kuwa masikini na hawajui kazi ya viongozi wa kisiasa.
Ki ufupi ni kwamba ninatangaza kupitia jamii forums kuwa Ninajiunga na Chadema Rasmi.
2005 nilikipigia kura nikiwa namtambua Mbowe(Freeman).
Zito kabwe nilianza kumsikia kwenye sakata la Amina Chifupa (marehemu) kupitia magazeti ya Udaku.
Nilishtuka pale nilipojua kuwa kumbe hata Professa Gwiji la Siasa za Kimataifa, Mwesiga Baregu naye pia ni mwanachama wa chama hiki makini.
Heshima kwa Mzee Mtei.
Heshima kwa Wibroa Slaa (PhD)
Heshima kwa mwana harakati Tundu Lisu
Heshima kwa Mpiganaji Rastafarai Chacha Zakayo Wangwe (Mungu Amlaze mahala pema)
Heshima kwa Damu ya Nyerere (Vincent Nyerere, Leticia).
Watanzania Wenzangu.
Hakuna haja ya kupigana. Hakuna haja ya kutamani kufa.
Ukombozi wa chi hii upo karibu.
Matokeo ya Mwaka 2010 nimeyavulia kofia.
Sasa Tuanze na Operation Nyangumi. Twende Vijijini. Tukawaamshe
Unapoona umuhimu wa kuandika PhD basi pia uone umuhimu wa kuandika PhD ya kitu gani. Ni PhD ya Sheria za Kanisa!
Naunga mkono hoja. Kweli kabisa lazima pawe na campeni za makusudi kwenda vijijini na kuwaamsha waliolala. Mimi binafsi niko tayari kutumia muda wangu kulifanya hilo.
Yaani umepatia kabisa! Ndivyo nilivyopata matumaini mapya uchaguzi wa mwaka huu. Kabla ya hapo hata kupiga kura nilikuwa nikiona ni kazi bure. Lakini uchaguzi wa mwaka huu umenipa matumaini ya ukombozi. Sitanyongea tena maana najua hata watoto wangu na wajukuu zangu watakuja kuishi Tanzania bora baada ya miaka hii 5. Huu ni mwanzo tu wa ukombozi. Hongera sana CHADEMA. Mumtunze Mzee wetu Dr. msimzeeshe na mijikazi kibaaaaoooo, mumpe wasaidizi, mumpe amani tumpigie debe na kura kwa wingi nchi nzima akionekana kijana zaidi kuliko mwaka huu. Nina raha sana jamani. :clap2::clap2::clap2: