Sasa najiunga kuwa mwanachama rasmi wa Chadema

Sasa najiunga kuwa mwanachama rasmi wa Chadema

Dr Matola PhD

Platinum Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
61,430
Reaction score
108,589
Kutokana na hali hali halisi mimi kama Matola nimekuwa nikiunga mkono harakati za Chadema kisiasa.

Ila kwakuwa wametokea manyang'au wanaotaka kuzorotesha harakati za kuiondoa CCM madarakani bila kuwa wanachama wa vyama, sasa nadhani ni muda muhafaka wa mimi kuwa mwanachama wa Chadema na kuwashikisha adabu ng'ombe wote wanafifisha harakati za wapenda mabadiliko.

Nimefikia uamuzi huu kwa sababu tuko wengi ambao tumesapoti nabadiliko bila kuwa wanachama wa upinzani lakini ninachokiona sasa hakipaswi kufumbiwa macho.

We are going to destroy all traters na mapandikizi yote, na soon nitakuwa verified user hapa JF ili kumaanisha vita hii wajinga wote wanashindwa.

Chadema ni mpango wa Mungu hakuna mmpumbavu yoyote wa kuzima harakati hizi.

Cc; Ben Saanane Mungi Tumaini Makene
 
Last edited by a moderator:
Hongera kwa kufanya maamuzi sahihi. Verified user, good idea.
 
Mkuu Matola,

Umepotea njia. Vijana werevu sasa hivi wameshashtukia kwamba Chadema ni mradi binafsi wa watu fulani. Ndio maana wapo wanaoweza kufanya chochote wanachotaka bila kuchukuliwa hatua lakini wengine wakikohoa tu wanakula kibano.

Fikiria kwa makini, unapotea njia...
 
Nikiwa miongoni mwa watanzania wanaopenda mabadiliko yatakayoleta maendeleo nimeamua kwa sasa nijiunge na chama makini chenye wanachama makini na wenye uchungu na nchi hii na chama hicho si kingine bali ni CDM kwani pamoja na CCM kupewa miaka 52 wameshindwa kufanya lolote huku viongozi wao wakijitarisha kwa kodi zetu.
Kesho asubuhi nikiwa na vijana wenzangu kama 50 tumeamua kwenda ofsi za chadema zilizokaribu na tunapoishi ili tupate kadi za uanachama, karibuni wapenda maendeleo tujiunge na chama kinachowatetea watanzania.
 
Hongera kaka karibu huku ni mzigo mzigo njoo tuwanyonyoe hawa magamba hawana jpya siofu tutakupa ushirikiano ulio tukuka kamanda wangu ccm ni wepesi kama tishu
 
Mkuu Matola,

Umepotea njia. Vijana werevu sasa hivi wameshashtukia kwamba Chadema ni mradi binafsi wa watu fulani. Ndio maana wapo wanaoweza kufanya chochote wanachotaka bila kuchukuliwa hatua lakini wengine wakikohoa tu wanakula kibano.

Fikiria kwa makini, unapotea njia...
Hata ccm inawenyewe ndio maana ni ngumu kupata ubunge kwa ccm labda uwe na 50M lakini kwa chadema hata kama huna ndururu unapata ubunge
 
CHADEMA Company wananchi wameshaishtukia.
 
Isijekuwa unakimbia huo mvumo wa mvua ya mawe inayoanza. Si unajua tena 2015? Kila la kheri lakini usije tu kesho ukaanza kuulizia habari za fomu ati ni haki ya kila mtu. Hatuja pungukiwa na uongozi, tulio nao japo wengi wanatuaminisha kuwa ni wa hovyo lakini bora hicho hicho kipuuzi kuliko hao wajanja wenye matumbo yasiyo shiba wala hofu ya aibu.
Karibu gwanda uvue gamba
 
Hata ccm inawenyewe ndio maana ni ngumu kupata ubunge kwa ccm labda uwe na 50M lakini kwa chadema hata kama huna ndururu unapata ubunge


Waulize BAWACHA wakwambie jinsi viti maalum Chadema vinavyopatikana.

Kama huji uliza uambiwe...
 
nikiwa miongoni mwa watanzania wanaopenda mabadiliko yatakayoleta maendeleo nimeamua kwa sasa nijiunge na chama makini chenye wanachama makini na wenye uchungu na nchi hii na chama hicho si kingine bali ni cdm kwani pamoja na ccm kupewa miaka 52 wameshindwa kufanya lolote huku viongozi wao wakijitarisha kwa kodi zetu.
Kesho asubuhi nikiwa na vijana wenzangu kama 50 tumeamua kwenda ofsi za chadema zilizokaribu na tunapoishi ili tupate kadi za uanachama, karibuni wapenda maendeleo tujiunge na chama kinachowatetea watanzania.

karibu sana kamanda
 
Umepanic Brother!

Punguza Munkari,

Chadema haijengewi mitandao. Wananchi wa Ng'ang'ange kule Kilolo hawaijui JF ila wanatamani sana kupata elimu ya uraia na rasilimali zao.

Hata chadema ni Msingi tu haijawafikia hadi leo na ndo chama kinategemea kupata kura hizo ili 2015 tukabidhiwe Pale Magogoni.

Think Big!
 
Duh, hongera, lakini ujue sio kazi rahis kuwatoa magamba madarakani...
Kuwaondoa magamba 2015 itakuwa kazi rahisi kama kusukuma mlevi! Ngome yao vijijini inazidi kuanguka kwani kila kukicha wananchi wanajitambua na kujua kuwa ili kuondoa umasikini lazima CCM iondoke madarakani!
 
Chadema ndo mpango kwa sasa kesho naweka namba ya kadi yangu hapa baada ya kukabidhiwa na kuwa mwanachama halali.

Ukiuliza mapato na matumizi ya chama Lema akikupiga tofali la utosini sijui familia yako ataiangalia nani!
 
Back
Top Bottom