Sasa Nahitaji Mke

Sasa Nahitaji Mke

Masai wa Town

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2017
Posts
6,544
Reaction score
23,844
Sifa zangu:
  1. Mwanaume mwenye umri wa miaka 30, kabila maasai
  2. Degree ya Kwanzaa
  3. Muajiriwa sekta binafsi
  4. Mweusi, mrefu na mwili wa wastani
  5. Mkristo
  6. Sijawahi kuoa na Sina watoto
  7. Napenda jogging na kusali
Sifa za mwanamke ninayemuhitaji
  1. Mkristo kabila lolote
  2. Mweusi na mwenye urefu wa wastani
  3. Aliye tayari kwa majukumu ya ndoa kama mke
  4. Asiwe na zaidi ya mtoto mmoja
  5. Awe tayari kuishi na mume wake siku zone. Maana yangu, nikihamishwa kikazi na yeye awe tayari kuhama na mimi.
Kama Kuna swali uliza.

Karibu PM
 
Sedahi ndugu,kila la kheri kwenye utafutaji wa mke.

Wait minute,mtaani kwenu au home kwenu au kazini kwenu hakuna wanawake,mpaka uanze kutafuta anonymous people's in there.

Anyway kila la kheri mkuu
Nyumbani kwao Tena si wataowana kama maabata,kazini napo pia hakuna kitu, mtaani anatakan kuoanmbali
 
Sifa zangu:
  1. Mwanaume mwenye umri wa miaka 30, kabila maasai
  2. Degree ya Kwanzaa
  3. Muajiriwa sekta binafsi
  4. Mweusi, mrefu na mwili wa wasting
  5. Mkristo
  6. Sijawahi kuoa na Sina watoto
  7. Napenda jogging na kusali
Sifa za mwanamke ninayemuhitaji
  1. Mkristo kabila lolote
  2. Mweusi na mwenye urefu wa wasting
  3. Aliye tayari kwa majukumu ya ndoa kama mke
  4. Asiwe na zaidi ya mtoto mmoja
  5. Awe tayari kuishi na mume wake siku zone. Maana yangu, nikihamishwa kikazi na yeye awe tayari kuhama na mimi.
Kama Kuna swali uliza.

Karibu PM
Hiyo no. 4 labda kama huna wivu
 
Iyo kaz mpe baba na mama yako wataifanya kaz vzr sana na utaipenda kaz yao, hawa wanawake wa kutafta kwa mtandao kwa jamii yetu na mazingira yetu bado sana,
 
Sifa zangu:
  1. Mwanaume mwenye umri wa miaka 30, kabila maasai
  2. Degree ya Kwanzaa
  3. Muajiriwa sekta binafsi
  4. Mweusi, mrefu na mwili wa wasting
  5. Mkristo
  6. Sijawahi kuoa na Sina watoto
  7. Napenda jogging na kusali
Sifa za mwanamke ninayemuhitaji
  1. Mkristo kabila lolote
  2. Mweusi na mwenye urefu wa wasting
  3. Aliye tayari kwa majukumu ya ndoa kama mke
  4. Asiwe na zaidi ya mtoto mmoja
  5. Awe tayari kuishi na mume wake siku zone. Maana yangu, nikihamishwa kikazi na yeye awe tayari kuhama na mimi.
Kama Kuna swali uliza.

Karibu PM
Nimestaajab! Unatangaza ndoa hadi na single mother!
Ubarikiwe sana na single mama.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom