Sasa nahisi maumivu ya kifua baada ya kuacha kunyanyua vyuma vizito

Ben-adam

JF-Expert Member
Jun 2, 2023
765
1,669
Wakuu kwema,
Ni takribani miezi mitatu tangu nilipoacha kunyanyua vyuma, sasa nahisi maumivu ya kifua ambayo hujitokeza hasa ninapocheka sana au nikilalia upande mmoja kwa muda mrefu!

Najua sababu ni kubeba vitu vizito maana sikuwahi kuona kitu kama hiki kabla.

Umeshawahi kutokewa na hali kama hii?
Mnanishaurije ndg zangu kuondoa maumivu haya?
Mimi nawaza kwamba niendelee kupiga gym japo sijui kama itakuwa suluhisho
 
iyo hali ni ya kawaida. Mimi ni mtu wa mazoezi gym Luna wakati niliacha kwenda gym mwezi nilipoanza tena nilipatwa na maumivu makali sana kila sehemu mwili.
 
Achana na mavyuma piga push_up nyingi kwa mitindo mbalimbali iyo hali itakwisha

Ulinyanyua vyuma ambavyo sio size yako , ilishanitokea nikaachana na vyuma sasa nakomaa kibabe na push-up tu.
 
ni kweli kabisa nilinyanyua ambavyo si size yangu. Asante kwa ushauri

Je huenda kuna mfupa ulivunjika au ni nini mkuu?
 
Sidhani kama inawezekana ikawa hivyo , mimi nilipata hyo shida kifua kikawa kinakua kama kimejaa upepo na maumivu ya mbavu kuvuta , kipindi hicho napiga kulia 120 na kushoto 120

Nilianza kwa kupunguza uzito kidgo kidgo mpka sasa napiga pushup tu kwa mitindo tofauti, na hayo maumivu yaliisha kabisa.

Dawa ya moto ni moto ila piga pushup mingi misuli itaachia tu .

Note: kama una mashaka zaidi ni bora umwone daktari mapema.
 
asante min -me
 
Wakuu kwema,
Ni takribani miezi mitatu tangu nilipoacha kunyanyua vyuma, sasa nahisi maumivu ya kifua ambayo hujitokeza hasa ninapocheka sana au nikilalia upande mmoja kwa muda mrefu!

Najua sababu ni kubeba vitu vizito maana sikuwahi kuona kitu kama hiki kabla.

Umeshawahi kutokewa na hali kama hii?
Mnanishaurije ndg zangu kuondoa maumivu haya?
Mimi nawaza kwamba niendelee kupiga gym japo sijui kama itakuwa suluhisho
Mapafu yako yalikwisha tanuka kuchukua hewa nyingi, hivi sasa hayapati mzigo huo, ushauri wange usingeacha ghafla ungeacha taratibu.
 
Back
Top Bottom