Ulijichanganya tuu Mkuu,kujiajiri ndio mpango wa maana kiukweli!Baada ya kushauriwa na wana kwamba ukitaka kufanikiwa jiajiri
Basi nikaacha kazi nikauza nyumba kuanza kuwekeza kwenye biashara
Kilichofuata.......... Tusidanganyane ngoja niendelee kutumwa maisha yenyewe haya haya
Nb sio kila binadamu kazaliwa kubwa tajiri wengine tumeubwa kutumwa using'ang'anize mambo
Unajipotezea muda
Umejiari safi kabisa.Nipo dar hapa naendelea na kazi yangu ya udereva wa Bajaj
Itakuwa baada ya kuuza nyumba uliendekeza anasa kwa pesa ya mtajiBaada ya kushauriwa na wana kwamba ukitaka kufanikiwa jiajiri
Basi nikaacha kazi nikauza nyumba kuanza kuwekeza kwenye biashara
Kilichofuata.......... Tusidanganyane ngoja niendelee kutumwa maisha yenyewe haya haya
Nb sio kila binadamu kazaliwa kuwa tajiri wengine tumeubwa kutumwa using'ang'anize mambo
Utajipotezea muda
Ilitakiwa abane matumizi.Itakuwa baada ya kuuza nyumba uliendekeza anasa kwa pesa ya mtaji
Kila mtu ana Talanta!Mkuu kila kitu lazima liwe na mpango wa majaribio kabla ya kufanyiwa kazi.
hauwezi kuamka tu uka sema naacha kazi nika jiajiri, nope it doesn't work like that labda baba ako awe rostam so uko na un limited resources.
Miaka 2-3 Kabla ya kuacha kazi ili paswa uwe Umesha andaa mpango wako, na kuanza kuufanyia kazi uki angalia maendeleo yake.
Kingine biashara au ajira si kwa kila mtu.
Smart work beats talanta mzee, una weza ukawa na talanta ila bila ya passion, consistency, hard work hamna kitu.Kila mtu ana Talanta!