Sasa mke basi!

Halafu wazazi wengine jamani, loooh,
Itafika wakati watu kuangalia na familia za kupata mke.

Walishindwa nini kujenga hadi wamekuwa watu wazima?

Mtume mshenga wenu akawaambie hivi, ......... wewe uwezo huo
wa kuwajengea kwa sasa hauna;
Waseme wanachokitaka wao, au walifikiria wamezaa mgodi wa dhahabu,

dadadadeeeeki zao hao wakwe zako!!!!!!!!!!!!!
 
piga mimba tna ya mapacha .....

wakiendelea kukusumbua wape makavu live huna uwezo na wwe kuwa jasiri kuwa na misimamo sio suala la kupelekeshwa

na huyu mwanamke ni kmeo kabisa badala ya kuwaza maendeleo yenu analeta mambo ya kuunga mkono wazo la ndugu zake...
 
..mangi....wengi wamekushauri vema....taasisi ya NDOA ni ya watu 2 pekee,,,,,napo kuwa MWANAMUME MUME, umewaendekeza shemeji zako mno,,,usiwachekee mwambie na mkeo.....wakwe wanawezaje kukuamrisha uwajengee.....nini kiliwashinda wasijenge,,,, na wanaishi wapi kwa sasa.....waambie hiyo kitu haipo, wasahau kabisa....mkeo nae mketishe mpe darasa,,, hilo suala halihitaji vikao sijui familia au wazee fulani even baba paroko, hiyo kimya kimya komaa mtu mume....
 
Kwani hao wakwe zako uliwakuta wanaishi porini❓
 
Wajengee mimba kwenye tumbo la binti yao.... Ndicho wanachomaanisha..... Lugha za mafumbo madogo zinawapiga chenga sana. Au ulifikiri wanataka umlishe tofali binti yao?

hahahaaaa! Kweli babu yawezekena ameshindwa kuelewa lugha
 
Inawezekana uliingia kwa mbwe mbwe na ahad nyingi maana kwa hali ya kawaida ni vigum
 
umenifanya nami nikiamua kuoa nifikirie kutafutia mke masaki
 
Wajengee mimba kwenye tumbo la binti yao.... Ndicho wanachomaanisha..... Lugha za mafumbo madogo zinawapiga chenga sana. Au ulifikiri wanataka umlishe tofali binti yao?

hahahaaa.. hata mm naona wanamaanisha kama Aspirin alivyokoment
 
Nimependa sana mtizamo wako kwa ulivyoiandika inaashiria wewe ni mke,
Mie sipati picha shemeji yangu ataanzia wapi kunieleza swala kama hilo,
 
Natamani hilo linitokee mimi,HIZO NDO CHANCE ADIMU ZA KUONESHA HOW REAL MAN I AM,Yaani ningechewazea bonge la filamu,BY THE WAY HUYO KE HAKUPENDI WALA NINI...! UNAONEKANA UMEMGANDAAA INGAWA KIUHALISIA MOYO WAKE HAUPO KWAKO,YUPO KWAKO KIDHARURA TU,SHUKURU MUNGU HILO LIMEBAINIKA MAPEMA! then chukua hatua stahiki!
 
Ndo mana wanasema uulize kwanza familia unayojiingiza..
 
it doesnt make sense yaani mwezi mmoja ut wanatoa demand kubwa hivyo wamekuona wewe ni muwekezaji au? wapuuzie mkuu ukiona wanaendelea kukaza temana na binti yao ndoa isiyo na fraha mapema yote hiyo haina tija
 
Wajengee mimba kwenye tumbo la binti yao.... Ndicho wanachomaanisha..... Lugha za mafumbo madogo zinawapiga chenga sana. Au ulifikiri wanataka umlishe tofali binti yao?

reading between the lines is a talent ...
 
Kwani hao wakwe zako uliwakuta wanaishi porini❓

hahahaaaaaaa unajua nimemwambia shemeji yangu aninunulie helcopter!!!

We muoaji you need to be serious sometyms, inaonyesha nawe uwa unawapa moyo, be open kuwa huwezi kama wanadhani ni haki yao wakakushitaki kwa wazee wa dini mlikofungia ndoa...
 
Mimi namuoa mmoja na sio familia nzima na hata yeye hatakuja jengewa, labda ajenge yeye. Vinginevyo.....
 
Wanaume Wa siku hizi wengi wao mizigo hawajielewi! Pesa huna, hata mkwara Wa kiume Pia huna!! EBO!!!!!
 
it doesnt make sense yaani mwezi mmoja ut wanatoa demand kubwa hivyo wamekuona wewe ni muwekezaji au? wapuuzie mkuu ukiona wanaendelea kukaza temana na binti yao ndoa isiyo na fraha mapema yote hiyo haina tija
Haina haja mkuu, dawa ni kusimama katika nafasi yake!Mkwe hawezi kumpelekesha bwana!!Mbona sie tumeolewa na wazazi wetu wana heshima sana kwa waume zetu?Kama shida wanazipata na wanazitatuzawao, ukiona wamemshirikisha mume wa binti yao basi ni tatizo kubwa sana!Tatizo hapa ni familia ya mke, inaelekea ni wale ambao hufurahia kuzaa watoto wa kike ili waje wawaoze kwa mahari kubwa au wame tegemezi kwa watoto wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…