Sasa mbona ananisumbua?

Mfanya kazi za ndani kweli anaweza kuingia jukwaa la GT?
 
Usiwe unakariri maisha, kila mtu na maisha yake
Hahaha
Ndio maana nimesema hiyo tumuachie baba na mama, wao wakiona kuna umuhimu warudiana siye tuka pige pilau tuwaache na maisha yao.
 
Mfanya kazi za ndani kweli anaweza kuingia jukwaa la GT?
Sio wote wanaofanya kazi za ndani ni wasiosoma au STD 7 wengine wamesoma mpaka diploma au degree ila ajira hamna wamejiongeza na hapo kasema anafanya kazi Oman mara nyingi wanafanya kwenye migahawa au hotel hata za ndani ila malipo sio kama bongo elfu 40
 
Tafuta mume mwingine akuoe hilo ndo suluhisho la sivyo lazima arudie kiporo chake, tena kiporo cha kisanvu na wali...au jiporo la baridi la wali maharagwe
Sawa
 
Ahsante kwa kunisaidia mm nilimaliza chuo na nilisoma web programming and graphics designing ila nilifeli kutokana na kutoshughulikia masomo, ninaongea English fasaha na ninaijua vizur sana computer..
 
Hahahaha
Ujue huyu sista mi naamini kabsa alikuwa ana consider kurudi, kwa sababu asinge omba ushauri.

Ila kina mwakyembe wa kuzuia ndoa wamekuwa wengi ndio wamzidia.
Ya Mungu mengi wamwache akaolewe tena
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kwakweli, kitu kama hukipi nafasi haina haja ya kuomba ushauri.
 
Mm hapa nalipwa hela ndefu now kwa kwetu labda anaenifikia ni mkurugenz Mana nishakuwa wa miaka mingi na Nina experience..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…