Alivyomuacha mwanzoni hakujua kuna umuhimu wa kumlea mtoto au, tena asipoteze vocha kumpigia huyo ni muuaji ingawa kosa liko kwa bibie kulazimisha ndoaMbona una mzibia baba watoto kurudi!!?
Mwache walee mtoto
Karibu tenaWewe mwenyewe umesema ulimlazimisha kukuoa. Kwahiyo ww ndio Bashite
Ahsante nilikumiss sanaKaribu tena
AhsanteWewe ni hayawani!
Namshangaa, tena mtoto mdogo kabisaa huyo. Eti anamtaka babake, siku zooote asimtake hiyo ni gia ya mdada bado anampenda mtalakahivi Dada mtto wako uliyemzaa kweli atakupanda kichwani
Kama huo ndo msimamo wako, huu uzi wa nini sasaSimpend Tena na siko tayar kurudiana nae
Haya.Nimeshablock Ila sometimes anatumia namba ya mtt kunipigia
Alishakuharibia nini?Niliona alishaniharibia yeyote mwengne acngeniamn
Ndio alifanya hivo lakin huwezi jua kilitokea nn mpaka yakaja hayo, na tumeona sista alimlazimisha kuoa, may be jamaa kakua now atawezaAlivyomuacha mwanzoni hakujua kuna umuhimu wa kumlea mtoto au, tena asipoteze vocha kumpigia huyo ni muuaji ingawa kosa liko kwa bibie kulazimisha ndoa
HeheheAhsante nilikumiss sana
Shem kwa naniHehehe
Mie pia shem
Ha ha ha ha jumapili huwa una akili sana usiache kwenda kanisan aiseemm nina busara Bonny basi tu huwa haunikubali unaniona kiazi
huyo dada anampenda huyo jamaa acha wakaongeze mtto mwingine wa pili, kuna vitu vingine ujue sio kila kitu kinachokukuta unakimbilia jf kuomba ushauri vingine unamalizana navyo mwenyewe.
Ewaahatujakataa warudiane tu si wanapendana
Akue mara ya ngapi, hamna alomshika mkono akaandika talaka.Ndio alifanya hivo lakin huwezi jua kilitokea nn mpaka yakaja hayo, na tumeona sista alimlazimisha kuoa, may be jamaa kakua now ataweza
Wacha waongee kama familia wayajenge
Mwachen amrudie tuandikiww thread nyengneHuyo mtoto ana haki ya kumsalimia babake lakini isiwe ndo gia ya wewe kutaka kurudiana na mtalaka wako. Alikuacha mwenyewe, hivyo vitisho ni vya nini. Alikuwa hakupendi na hatokaa akupende milele, anatumua udhaifu wako aje afaidi ulivyonavyo. Wala usimtie maanani
hahahhhh jamaa kamiss kitu yake ya bureNamshangaa, tena mtoto mdogo kabisaa huyo. Eti anamtaka babake, siku zooote asimtake hiyo ni gia ya mdada bado anampenda mtalaka
Sawa lakin ya Mungu mengi, huwezi jua.Simpend Tena na siko tayar kurudiana nae
Mpk Sasa bikra Ni muhimu nnavyohic mm ili kujenga uaminifu kwa atakaekuoa else atajua ty kwamba Kuna mtu nyuma yake na ipo cku unaweza ukarud kwakeAlishakuharibia nini?
Mwingine asingekuamini kitu gani?
Inaonekana miaka hiyo unayozungumzia bikra ilikuwa kitu muhimu sana e?