TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,815
MKUU UMENENA !!!!!!Kuna kitu kinanishangaza sana kuhusu Chadema, Bado hawaamini Kuwa Uhuni Wanaofanyiwa Unatokea Mbali zaidi ya Polisi, Zaidi ya wakuu wa Wilaya na Wakuu wa Mikoa. Nilikuwa Nikiwasikiliza Lema na Nassari walivyokuwa wakidai Watampelekea Mh. Rais Ushahidi wa Madiwani Kuhongwa Nikasikia Kichefuchefu!
Nafikiri Nilisema Mahali Ninyi toeni huo Ushahidi, in Public, Sasa Baada ya Kubezwa na Takukuru na Mnyeti Kupewa Ukuu wa Mkoa, kupandishwa, Nadhani akili itawajia. Maana walichokuwa wakikifanya ni kumtumia Mtu Ujumbe kuwa, "The Magic of Fear is Working"
Na Kama hawatakuwa na Mkakati wa Pamoja wa Kujua namna ya Kupambana Kisiasa very forcefully, 2020 Wakibakizwa Wabunge 5 wa Chadema Niiteni Mbwa!
Why I say so!
1) Kama Mwenzenu anapigwa Risasi Mchana Kweupe, Reaction inakuwa ni Unyonge, Ukishinda Ubunge wakamtangaza Mwingine Utafanyaje?
2) Kama Kigaila anakamatwa na Polisi kwa Kuhoji kwanini Makonda anazunguka na Wenye Bunduki reaction yenu inakuwa hii, Mkinyang'anywa Ubunge Mtaweza kufanya Nini?
3) Kama Mtu Bustani zako zinaharibuwa Unalia lia Unajibu uhuni kwa sheria Ukinyang'anywa Ubunge hata kama Umeshinda kwa asilimia 90% Utafanyaje!
4) Hivi neno, " Jecha apewe Tuzo" Linaashiria Nini Kwenu?
5) Hivi Pamoja na Kuonyesha Wazi Mnyeti alihusika kuhonga Madiwani na Bado Akapandishwa Cheo Inaashiria Nini Kwenu!
Endeleeni Kulia Goodluck, Pengine Mtaonewa huruma! Guys Mnachokifanya ni Kutuma Ujumbe kuwa hata Mfanyiwe nini hamwezi fanya Lolote, "And the Envelopes will be pushed real far in 2020 by the look of things"
HALAFU ACHENI MADHARAU!
Siyo kwa awamu hii!Kweli tupu.. Ifike mahali sasa Chadema wawe wana react fiercely..!!
Na sio ku-react kwa kuitisha press conference..
Enough is enough..
Hawa watawala wapo tayari hata kupoteza uhai wa mtu ili watawale tu..
Chadema ibadili mkakati sasa..
Aggressiveness is needed now.
Kwani kuna nini awamu hii si nao ni binaadamu tu!!Siyo kwa awamu hii!
Chadema hawana smg sasa wafanyeje?mimi huwa nawaita wazee wa kubweka, huwa nawafananisha wapinzania wa Tanzania kama mbwa koko (samahani kwa hili)... sifa za wapinzania wa Tanzania hazina tofauti na mbwa koko, na CCM pia wanalijua hili lakini hii pia ni sifa ya watanzania kubweka bweka bila kuwa na suluhu ya tatizo..
Cdm walikuwa wanaenda vizuri , lakini ule ushauri wa Lowassa kuwa waachane na siasa za uanaharakati ulikuwa na kasoro. Lakini pili maandamano ya UKUTA hayakupaswa kuahirishwa wala kuingiliwa na kina Pengo & Co's.mimi huwa nawaita wazee wa kubweka, huwa nawafananisha wapinzania wa Tanzania kama mbwa koko (samahani kwa hili)... sifa za wapinzania wa Tanzania hazina tofauti na mbwa koko, na CCM pia wanalijua hili lakini hii pia ni sifa ya watanzania kubweka bweka bila kuwa na suluhu ya tatizo..
Umeandika vizuri, tena sana, sasa wafanyeje? If it were you, what would you have done in a forceful way? Resistance ya ndani ni ngumu. sisi tuliwahi shuhudia Idd Amin, tunajua ugumu wa unachokiongea.Kuna kitu kinanishangaza sana kuhusu Chadema, Bado hawaamini Kuwa Uhuni Wanaofanyiwa Unatokea Mbali zaidi ya Polisi, Zaidi ya wakuu wa Wilaya na Wakuu wa Mikoa. Nilikuwa Nikiwasikiliza Lema na Nassari walivyokuwa wakidai Watampelekea Mh. Rais Ushahidi wa Madiwani Kuhongwa Nikasikia Kichefuchefu!
Nafikiri Nilisema Mahali Ninyi toeni huo Ushahidi, in Public, Sasa Baada ya Kubezwa na Takukuru na Mnyeti Kupewa Ukuu wa Mkoa, kupandishwa, Nadhani akili itawajia. Maana walichokuwa wakikifanya ni kumtumia Mtu Ujumbe kuwa, "The Magic of Fear is Working"
Na Kama hawatakuwa na Mkakati wa Pamoja wa Kujua namna ya Kupambana Kisiasa very forcefully, 2020 Wakibakizwa Wabunge 5 wa Chadema Niiteni Mbwa!
Why I say so!
1) Kama Mwenzenu anapigwa Risasi Mchana Kweupe, Reaction inakuwa ni Unyonge, Ukishinda Ubunge wakamtangaza Mwingine Utafanyaje?
2) Kama Kigaila anakamatwa na Polisi kwa Kuhoji kwanini Makonda anazunguka na Wenye Bunduki reaction yenu inakuwa hii, Mkinyang'anywa Ubunge Mtaweza kufanya Nini?
3) Kama Mtu Bustani zako zinaharibuwa Unalia lia Unajibu uhuni kwa sheria Ukinyang'anywa Ubunge hata kama Umeshinda kwa asilimia 90% Utafanyaje!
4) Hivi neno, " Jecha apewe Tuzo" Linaashiria Nini Kwenu?
5) Hivi Pamoja na Kuonyesha Wazi Mnyeti alihusika kuhonga Madiwani na Bado Akapandishwa Cheo Inaashiria Nini Kwenu!
Endeleeni Kulia Goodluck, Pengine Mtaonewa huruma! Guys Mnachokifanya ni Kutuma Ujumbe kuwa hata Mfanyiwe nini hamwezi fanya Lolote, "And the Envelopes will be pushed real far in 2020 by the look of things"
HALAFU ACHENI MADHARAU!
unazani wanajitambuaga hao ni wepesi sana kusahau ,hao ni vinyongaLema alisema amtambui Magufuli ghafla anataka kumpelekea ushaidi
Mbuzi nae anayo pembe japo azina thamani
Why not give a try then?Kwani kuna nini awamu hii si nao ni binaadamu tu!!