Sasa kutuonyesha tupu zenu ndio nini!?

kuna wengine wanakwenda nyumba za ibada wamevaa kituko utafikiri wanakwenda disco/shivas inaboa vaa kuendana na mahali husika

jni kweli kabisa............................kauli zetu na matendo yetu ndiyo taswira zetu........
 
Back
Top Bottom