Sasa itoshe basi,CCM na Bulembo acheni kutusakama Walutheri

Sasa itoshe basi,CCM na Bulembo acheni kutusakama Walutheri

Bulembo kura za madhehebu yote ni za Lowasa,msituchonganishe nae,mbona wewe Bulembo ni mwislam,ya wakristu utuachie wakristu!
 
Waluteri ni hata sisi.Bulembo hana kosa.anayestahili kukemewa ni wanaopeleka siasa Kanisani na kutumia washenga wachungaji
 
Na ndiyo anazidi kufanya walutheri wakasirike na kumtosa magufuli, kwani walutheri ni wanyama.?, walutheri ni binadamu wenye fikira na maamuzi kama binadamu wengine ila ni wavumilivu sana, ingekuwa waislamu moto ungeshawaka

Kwani ni wapi ni lini CCM walisema ni watu au binadamu tafakari jiongeze.
 
Bulembo kura za madhehebu yote ni za Lowasa,msituchonganishe nae,mbona wewe Bulembo ni mwislam,ya wakristu utuachie wakristu!

CCM wanajitahidi sana kuwachonganisha wakatoliki na walutheri lakini wasichojua ni kwamba madhehebu haya mawili wote ni wastaarabu na wanaheshimiana na kukubaliana kwa 99% kamwe hamtowafarakanisha kwa siasa zenu za maji taka. Bulembo et al nyambaf
 
CCM haipendi Walutheri wote ndo maana inawatukana majukwaani! Wameishiwa hoja hawa! Mwisho wao umefika!
Yeye aendelee kuwatukana warutheri ambao bado wanajipendekeza kwa Magufuri ili wajielewa kuwa hawatakiwi. Magufuri na familia yake walihama UKATORIKI wakaamia kwa WAROKOLE.
 
Nafikiri JF kipindi hiki saidieni kutupa nafasi ya kuwabana viongozi wapuuzi - kama kweli watu wa aina ya Abdallah Bulembo wanafaa kuitwa viongozi

Nikiwa Mlutheri na shabiki wa Magufuli,jana nikiwa na familia yangu tuliamua kufika katika viwanja vya People's katika mji wa Singida kumsikiliza Ndg.Magufuli aliyekuwa na mkutano hapa - lakini kwa hakika nilifedheheshwa na kauli za Ndg.Bulembo kwamba Lowassa abaki na kura za Walutheri na Wakristo wa Kanisa la Gwajima lkn asahau kura za Wakatoliki,Waislam na watu wa madhehebu mengine;na ni ajabu yeye kutamka vile mbele ya viongozi Walutheri Lazaro Nyalandu,Mwigulu Nchemba na Diana Chilolo ambao wote walikuwepo jukwaa kuu na walipata nafasi ya kuzungumza katika mkutano huo.

CCM wanapaswa kumkemea Bulembo na hata ikibidi amwondoe kwenye msafara wa Ndg.Magufuli - sasa kwamba maana yake nini,kwamba sasa CCM wamekwishaamua kuwa hawahitaji kura za Walutheri na kwamba sisi Walutheri ni watu wabaya tunaopaswa kusimangwa kila siku kwenye mikutano ya kampeni za CCM?Jambo hili halikubaliki hata kidogo

Nachelea kusema kuwa watu aina ya Bulembo ni hatari sana na wakiachwa waendelee na upuuzi wao wataifikisha nchi yetu kwny machafuko sawa na yale ya makundi ya Seleka na Anti Balaka ya Jamhuri ya Afrika ya Kati

Huyo Bulembo ni kitone cha maji tu kwenye bahari, lakini inasikitisha pale kiongozi mkubwa tena anayeaminika na ambaye anagombea nafasi kubwa ya kuongoza watanzania eti analeta ubaguzi wa madhehebu na dini. Inasikitisha sana.
 
Yeye aendelee kuwatukana warutheri ambao bado wanajipendekeza kwa Magufuri ili wajielewa kuwa hawatakiwi. Magufuri na familia yake walihama UKATORIKI wakaamia kwa WAROKOLE.

Huu ubaguzi wote umesababishwa na yule aliyeenda kuomba kura kanisani.
 
Ni afadhali Burembo kuliko wewe mpika na mgeuza habari na majungu,kwa ulichokiandika wewe ndiye msambaza chuki za udini,alichokifanya Lowasa haikua sawa lakini pia unachokifanya wewe si sawa pia,kimtizamo, na kwa mwenye akili ataelewa kwamba na wewe ni msambaza chuki za udini humu mitandaoni,wewe unasambaza chuki kwa walutheri dhidi ya madhehebu mengine,watanzania tuache haya mambo ni upumbavu na hatari kwa taifa.

Bulembo mbona humuongelei, au yeye yupo sahihi kuleta chuki ya dini!!
 
dini zenu za mashetani lakini wakatoliki wameenda shule sio wa kuelekezwa na vikina bulembu
 
Nape alishanukuliwa kwamba hilo swala halitajadiliwa tena!! Kimetokea nini tena hawa jamaa wanaendelea na hiyo propaganda?? Sio sawa, Bulembo akemewe, sio sawa kabisa kueneza chuki hii ua dini!! Waluteli na hao wa Gwajima wanamadhehebu ambayo ni marafiki zao!! Wanawakatoriki ma madhehebu mengine ni marafiki zao, waislam ni marafiki zao!! Kitendo cha CCM kukataa kura za Waluteli na Ufufuo na Uzima maana yake wanakataa kura za wakatoriki waislam na dini zingine zote!!

Magufuri huyu mtu anakuharibia, muweke pembeni, kadri siku zinavyozidikwenda unazidi kupoteza mashabiki, ikifika tarehe 20 utakuwa umekataliwa nawatu wengi wenye kujitambua, kama utaendelea kuassociate na Bulembo
 
Ukiona mzee wa Kuwait kupigiwa kampeni na Bulembo ujue kwenye chama hakuna vichwa vya maana yamebaki magalasa tu. Yaani Bulembo na JPM wapi na wapi? Uozo mtupu. Chama kimejifia hiki

Unajua Pombe kuzungukwa na watu kama Bulembo, Lusinde na Nape pengine ndio kumemuondoa hata akili kiasi cha ufahamu wake kuwa that much low na kutokujua Saddam alikuwa wa wapi.
Mara nyingi watu wa aina ya Bulembo sio wakujicha nganya nao muda mrefu wanaweza kukuambukiza ujinga bure!
 
Nafikiri JF kipindi hiki saidieni kutupa nafasi ya kuwabana viongozi wapuuzi - kama kweli watu wa aina ya Abdallah Bulembo wanafaa kuitwa viongozi

Nikiwa Mlutheri na shabiki wa Magufuli,jana nikiwa na familia yangu tuliamua kufika katika viwanja vya People's katika mji wa Singida kumsikiliza Ndg.Magufuli aliyekuwa na mkutano hapa - lakini kwa hakika nilifedheheshwa na kauli za Ndg.Bulembo kwamba Lowassa abaki na kura za Walutheri na Wakristo wa Kanisa la Gwajima lkn asahau kura za Wakatoliki,Waislam na watu wa madhehebu mengine;na ni ajabu yeye kutamka vile mbele ya viongozi Walutheri Lazaro Nyalandu,Mwigulu Nchemba na Diana Chilolo ambao wote walikuwepo jukwaa kuu na walipata nafasi ya kuzungumza katika mkutano huo.

CCM wanapaswa kumkemea Bulembo na hata ikibidi amwondoe kwenye msafara wa Ndg.Magufuli - sasa kwamba maana yake nini,kwamba sasa CCM wamekwishaamua kuwa hawahitaji kura za Walutheri na kwamba sisi Walutheri ni watu wabaya tunaopaswa kusimangwa kila siku kwenye mikutano ya kampeni za CCM?Jambo hili halikubaliki hata kidogo

Nachelea kusema kuwa watu aina ya Bulembo ni hatari sana na wakiachwa waendelee na upuuzi wao wataifikisha nchi yetu kwny machafuko sawa na yale ya makundi ya Seleka na Anti Balaka ya Jamhuri ya Afrika ya Kati

Badala ya kukemea wanoomba kura kwa madhehebu yao unawashambulia wanao himiza amani, kwani lowasa hajaomba kura za walutheri? Mimi mwenyewe mrutheri lkn kwa ujinga huu bulembo aendelee.
 
mie si mlutheri ntampigia lowasaa CCM mafala tu
KIKWETE HAJAVUNJA BARAZA LA MAWAZIRI SIJUI KWA NINI
 
Fuatilia elimu yake anaishi kwa kubwabwaja mwache anatuongezea wapiga kura! Mimi mkatoliki namchagua Lowasa
 
Kitendo cha kueneza udini ni hatari sana.ina maana Magufuri hahitaji kura za walutheri?huu ubaguzi wa nini wewe bulembo?uchaga,baadae ukasikazini na sasa ulutheri!mnapanda mbegu gani nyie?mwisho wake nini?ccm ya Nyerere kweli ilikufa na azimio la Arusha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom