Sasa hivi wanawavalisha wanafunzi nguo za CCM na kofia ili tusiwajue wakati wa kuongeza vichwa

Hivi ni lazima kampeni kujaza watu Hadi kufikia wanafunzi kuvalishwa t-shirt za siasa sikuna watu hufatilia on tv
 
What I know for sure is , this october i’m voting for TUNDU LISSUu for so many reasons. but the biggest of all is that i don’t want to see some insecure, paranoid man in the highest office in the country who cares very little about laws and constitution. i also ask you to vote for TUNDU LISSU.
 
Ukiangalia tu wapiga kura kwenye huo umati wanahesabika hata 20 hawafiki, Halafu akija Yule mzee utasikia Uwanja huu umefurika kweli kweli mmetia fora
Nasikia mikutano ya Lissu wengi,wanakuja kuangalia kama kweli ana vyuma mwilini.
 
Kwani mnateseka?

Achaneni na Ccm pambaneni na hali zenu

*elezeni mmewafanyia nini watanzania so far na mtawafanyia nini mkipewa ridhaa
Wengi kwenye mikutano ya cdm,ni wahuni waliokosa cha kufanya.Wanataka kuona vyuma mwilini
 
Wengi kwenye mikutano ya cdm,ni wahuni waliokosa cha kufanya.Wanataka kuona vyuma mwilini
Hakika mkuu.
Screenshot_2020-09-28-15-31-51-1.jpg
 
Hivi uwajaze wanafunzi kiasi hicho kweli?ina maana walikuwa wanaongozana msururu huko njiani wakitokea mashuleni kwao kwenda kwenye mkutano.
 
Hawa ndio wapiga kura wa JPM, si ajabu hofu imewajaa akina Polepole huko Lumumba...pole zao!

View attachment 1583865
Hapo mbele wanaonekana watu wazima wapiga kura wawili ambao nadhani ni waalimu na
waliobaki wote ni watoto wadogo ambao hawajui hata kinachoendelea, poleni CCM​
Acha watoto wetu wakamuone Rayvan na konde boy bila kumsahau Daimondi na Chuuchu.
 
CCM wana PhD ya kufeki. Kila kitu kuhusu CCM ni feki. Hata miundombinu wanayozungumzia ni feki. Baada ya miaka 10 hivi madaraja yataanza kuvunjika.
 
Back
Top Bottom