SASA HIVI WANAUME TUMEBAKI WACHACHE

SASA HIVI WANAUME TUMEBAKI WACHACHE

Zamani ilikuwa ukisikia Mwaume harakati zake zote ni za kiume...

Ukikua tu unajua mimi habari zangu nI, KILIMO, KUWINDA, KUCHUNGA MIFUNGO, KUPAMBANA...

Yaani zana ambazo ukitembea hukosi mkononi ni KISU, PANGA, SIME, MSHALE, UPINDE NA MKUKI...

YAANI MUDA WOWOTE FITA NI FITA MURA...

Zamani baba akirudi akikukuta mtoto wake wa kiume upo umekaa na mama yako jikoni...utafukuzwa kama mbwa...MWANAUME HAKAI JIKONI NA AKINA MAMA...

Sasa hivi unaona eti vitoto vya kiume vinakata miuno...kweli jamani...ama kweli wanaume tumepungua...

Uzi tayari...
Kwahiyo upo na mkuki na panga hapo????
 
Duuh umenikumbusha Babu yangu alitia kiberiti nyumba ya bibi kisa alirudi saa mbili mbili hivi usiku akakuta watoto wa kiume wapo kwenye gheto la mama yao badala ya gheto la wanaume ambapo alikuta giza.
Wazee walikuwa serious kulinda maadili ya kiume
 
Aisee
 
Wanaume wa sikuhizi kibaridi kidogo wanaoga maji moto
 
Zama zimebadilika pia inategemea na mazingira
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom