Sasa CCM iwasaidie Chadema kufahamika hadi Vijijini kupitia haya Maridhiano!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,932
141,898
Jambo jema kwa Chadema ni kwamba haya Maridhiano yanawafanya waanze kufahamika Vijijini ambako walikuwa hawajulikani

Nasi CCM tuwaunge mkono kila kijiji kipandishe bendera ya Chadema pembeni ya ile ya CCM Ili kuyaenzi Maridhiano

Nawasilisha!
 
Sometimes cjui hua unapatwa na hitilafu gan Kweny ubongo!! Anyway inabid tukuzoee tu maan sometimes yes sometimes no!!!
 
Jambo jema kwa Chadema ni kwamba haya Maridhiano yanawafanya waanze kufahamika Vijijini ambako walikuwa hawajulikani

Nasi CCM tuwaunge mkono kila kijiji kipandishe bendera ya Chadema pembeni ya ile ya CCM Ili kuyaenzi Maridhiano

Nawasilisha!
Huyu ndo johnthebatist
 
Kijijini ndiko ambako madhara ya CCM ni makubwa sana. Ila watu wanadhurumiwa kipumbafu.

So kijijini wengi hawaipendi CCM.

Once election will be fare and free enough CCM inakufa
 
Back
Top Bottom