PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 14,256
- 45,814
Na kwenye kitambulishoSasa hiyo picha ya SSH ya nn kwenye hiyo jezi?
Mambo ya hovyo kweliNa kwenye kitambulisho
Nibalaaaa!!!Na kwenye kitambulisho
Zinaongeza hela ktk mifuko ya watuZinapunguza vipi ajali?
Wanazingua hawa 'watu'Zinaongeza hela ktk mifuko ya watu
Kila siku wanashindwa kukusanya kodi, tatizo sio sare kama ni ajali. Wekeza kwenye barabara bora uwone kama ajali utasikia....Mradi mwingine huu wakula .na kuwapiga wananchi ..hapo uniform hela..kitambulisho hela
Tenda hiyo imekwenda kimyakimya, pia watapewa ngapi kila mmoja ili wasituambukize chawa.Sare mpya kwa Madereva Bodaboda Dar es salaam
Hivi karibuni zitazinduliwa sare mpya kwa madereva wa Bodaboda Dar es salaam ambapo sare hizo zitakuwa na namba na ukiingiza hiyo namba kwenye mfumo utajua taarifa zote za huyo dereva na sehemu anapotokea.
Ambapo Mkuu wa Wilaya ya Ilala Muheshimiwa Edward Mpogolo, akiwa ametinga uniform Maalum ya madereva bodaboda ambayo inatarajiwa kuzinduliwa hivi karibuni jijini Dar es salaam. Hii nzuri sana itasaidia kupunguza vitendo vya wizi na kwa madereva hao kwani baadhi yao sio waaminifu na kuhamasisha usafi.Tunapoelekea dereva wa Bodaboda akifanya lolote lile ambalo sio zuri inakuwa rahisi kumpata.
Hii nzuri sana isiishie Dar es salaam iwe kwa bodaboda Tanzania nzima
Wale bodaboda ambao wanakimbia baada ya kusababisha ajali au wale ambao wanavunja side mirror na kukimbia hapa itakuwa mwisho waoView attachment 2949037.
😀🤐Sasa hiyo picha ya SSH ya nn kwenye hiyo jezi?
Jamaa kwenye usafi imekuwa kituo cha polisiTenda hiyo imekwenda kimyakimya, pia watapewa ngapi kila mmoja ili wasituambukize chawa.
Wivu wao tu..wakiona boda boda wanapiga hesabu za maokoto vzr wanataka na wao wachukue humo humoKila siku wanashindwa kukusanya kodi, tatizo sio sare kama ni ajali. Wekeza kwenye barabara bora uwone kama ajali utasikia....
Sasa Samia kapigaje hapo?Sare mpya kwa Madereva Bodaboda Dar es salaam