Sarakasi zile za kabla ya ndoa ziko wapi?

Sarakasi zile za kabla ya ndoa ziko wapi?

Kiuno kinakuwa kimeshachoka, tangu anafukuzia ndoa hadi kaipata mchezo, hiko kiuno lazma kipumzike kwa ajili ya kubebea watoto sasa.
 
Nawauliza nyie wadada...kwa nini mnapokuwa kwenye mahusiano kabla ya kuolewa huwa mnatoa ushirikiano mzuri,sarakasi za kila namna mpaka mwanaume anashawishika kukuweka ndani.Lakini baada ya kuishi kwenye ndoa zile sarakasi na kachumbari za hapa na pale zinakuwa hazipo.Ni kwa nini mnafanya hivyo? Au kwa sababu ulichokuwa ukikihitaji unakuwa umeshafanikisha?
Principle nzuri ya kuoa mwanamke ni kuanza kuishi nae kwanza kama inawezekana unampa mimba yani hapo utazijua tu tabia zake na utaona hapa nioe au nisioe
 
Back
Top Bottom