Mhaiki2022
Senior Member
- Jul 13, 2022
- 138
- 193
Ni wazi kuwa timu ya Yanga wameamua kuwaunga chadema kwenye kampeni yao na hii itakuwa kuna watu wanawafadhili...kwa kuwa ukiangalia kwa undani slogan yao ya HATUCHEZI NG'O ni kama ya chadema.
Serikali iwangalie vizuri hawa watu utakuta wana agenda ya siri na chadema.
Serikali iwangalie vizuri hawa watu utakuta wana agenda ya siri na chadema.