Sarafu za shilingi mia tano bado zipo?

Hakuna kitu kinachonike kama kutumia noti mbili na nizaaina moja. Mf/ 10000,1000,5000 tz tnatumia aina mbli. 10000 mbli,5000 mbli. Loh
 
Zipo sana, na mimi nikiipata uwa naitumia maramoja maana hukawii kuichanganya na mia mbili, Bongo kweli tambarare!!
 
Mimi ndo munaniambia kuwa kuna sarafu ya 500, swali zimeanza lini ???????? na kwann ziwepo hizo wakati kuna za noti???????????
 
Tangu imetangazwa kuingia mtaani sijawahi kuitia machoni wala mkononi zaidi ya kuiona katika picha tu.
 
Mi ninayo moja, zipo kwenye mzunguko au hazipo?
 
Nasikia zinatengenezwa cheni siku hizi ndo maana zimeadimika
 
zipo ila huku mtaani naskia ni dili zinanunuliwa kwa buku mbili mbili
 
Maswali ninayojiuliza;

1.Mbona zimeadimika katika mzunguko wa pesa ghafla?.

2.Au BOT wameacha kuzitengeneza?


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…