Huyu jamaa kapatia channel ya maisha na kaing'ang'ania kwelikweli.




How kwa hiyo hizo tanzanite ni goroka auKuna jamaa kanidokeza yupo pale mirerani Kuna mchezo serikali inaucheza na bwana laiza ili kuipeleka nchi katika uchumi wa kati.ngoja nifanyie uchunguzi hii kitu.
Ngoja nifuatilie kupata usahihi wa hiyo hojaHow kwahiyo izo tanzanite ni goroka au
Ngoja nifuatilie kupata usahihi wa hiyo hoja



Mmh mkuu picha zinapigwa kabisaa na Hundi amepewa na jamaa ni mchimbaji wa miaka mingi hii movie inakuwaje sasa??? Vipi watalii wakija wakitaka kuionaa kwa kulipiaa maana ndp lengp la serikali... Laizer kutumika ni ngumu sana ukizingatia hilo ni suala la fedhaSirikali ina nguvuMmh mkuu picha zinapigwa kabisaa na Hundi amepewa na jamaa ni mchimbaji wa miaka mingi hii movie inakuwaje sasa??? Vipi watalii wakija wakitaka kuionaa kwa kulipiaa maana ndp lengp la serikali... Laizer kutumika ni ngumu sana ukizingatia hilo ni suala la fedha
Ajiunge kwa nani maana manabii na waombeaji hawatengenezi mamilionea wao. Wanatafuta waumini kama hawa wawafilisi.Akumbuke kutoa sadaka na zaka💕
Hii aliipata mwezi kipindi anapata zile zingine. Sema hii aliificha. Sasa sijui nani alimchongea. Sema aliona anapunjwa,ni vile hawezi kusema tu ila moyoni ukweli anaujua.
inaweza ikawa sahihiHata alipotoa yale mawili. Nilikuja na uzi humu nikisema kwa structure ya yale mawe, inawezekana kuna mengine yamefichwa. So anatoa kidogo kidogo.




So watalii wakija tutawaambia tulikuwa tunawazugaa wajeee
Sirikali ina nguvu
Braza Mimi ni mjumbe ila umepata kura yangu nWale wakuzaa watoto wawili eti maisha yawe mazuli, sasa ndo watu wajue kuwa mpaji ni mungu.
Jamaa na watoto wke30 bado kawa Billionea.
Wenye tutoto tu2, bado hata chai nishida kuipata.
Hujanielewa badoSo watalii wakija tutawaambia tulikuwa tunawazugaa wajeee
Lengo ni nini??? Kwamba wawavute wawekezaji au tupate attention gani hasa kimataifa??? Maana serengeti na Mlima kilimanjaro...ngorongoro sijui vinafanya yote hayoHujanielewa bado
Acha umbea hajataja sehemHapa unazungumzia wale wa kanda ya ziwa