rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 22,163
- 43,988
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yule jamaa noma sanaaJamaa siku hizi anapigiana Simu na kina bill gates wanabadilishana mawazo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yule jamaa noma sanaaJamaa siku hizi anapigiana Simu na kina bill gates wanabadilishana mawazo
Sasa billion 7 nazo ni pesa kwa hii serikali. Vitambulisho tu vya machinga kuna kigogo anapiga 20b kila mwaka.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mmh mkuu picha zinapigwa kabisaa na Hundi amepewa na jamaa ni mchimbaji wa miaka mingi hii movie inakuwaje sasa??? Vipi watalii wakija wakitaka kuionaa kwa kulipiaa maana ndp lengp la serikali... Laizer kutumika ni ngumu sana ukizingatia hilo ni suala la fedha
ShikamooHuhitahi kutangaziwa thamani ya jiwe hilo, ni swala la mahesabu tu, assuming composition yake iko sawa na yale mengine aliyoyapata hapo awali la kilo
Kwamba kilo 9.2+5.8= kilo14 thamani Tshs 7.8 Billions
Kilo 6.33 ni Tsh Billion X= ngapi?
X=6.33x7.8/14=3.53
Kwa hiyo jiwe hilo lina thamani ya Tshs 3.53 billions
Laizer kaficha maweee bataa kabisaa yuleeSasa billion 7 nazo ni pesa kwa hii serikali. Vitambulisho tu vya machinga kunakigogo anapiga 20b kila mwaka.
Ndyomaana tunaingia uchumi wa kati ila asilimia kubwa ya watu wanakuwa masikini. Matajiri wanakuwa matajir zaid.
Una akiri kubwa mno, hicho ndicho kilichopo Mkuu, aidha anayomengi Au kuna watu Au mtu anamtumiaAlipata mengi na makubwa, sasa anaanza kutoa moja moja!
Au pengine isijekuwa kuna utakatishaji unafanywa na majamaa flani hivi kwa kumtumia ee?! Maana mwaka wa uchaguzi huu, btw muda utasema!
Mzee inaelekea hufatilii hii habari, huyo alichimba akaenda chini hadi akaishiwa vitendea kazi eg mashine za kusupply hewa ikabidi arudi juu na kuanza kwenda ubavuni ndio akakutana na mzigoAlichimba kina kirefu yaonyesha Keshaupayta mwamba ..ningekua mimi nabeba mafungu yangu nanunua jumba "property" Dubai nabeba ndugu zangu tunaanza maisha huko
Maana bongo Au utavamiwa Au utarogwa tu ili mardi ufe tu au ulost
Hata materials akitaka atauza tuUnadhani mie natoa kanisani best! Aku... Mie natoa kwa wahitaji...kila siku mie natoa sadaka .zaka Kama Kuna ujenzi wa kanisa napeleka material things. ..kisa Cha kumtajirisha mchungaji??
Ana wake sijui wangapi, ila watoto anao 30. Kwa 10bil hazitodumu kivile.Alichimba kina kirefu yaonyesha Keshaupayta mwamba ..ningekua mimi nabeba mafungu yangu nanunua jumba "property" Dubai nabeba ndugu zangu tunaanza maisha huko
Maana bongo Au utavamiwa Au utarogwa tu ili mardi ufe tu au ulost
Inategemea....mie natangaza kanisani natoa viti 20 unauzaje?Hata materials akitaka atauza tu
Hili jiwe lilipatikana muda sana,lilipatikana pamoja na yale mengine yaliyooneshwa yenye thamani ya b7.8 Ila lilitaka kutoroshwa kinyamela kutokana na uimara wa vyombo vya dola pale kwenye ukuta wa Magufuli likakamatwa na mguhumiwa alikua lockup nadhani ,nliwahi kudokeza kukamatwa kwa hili jiwe.Akumbuke kutoa sadaka na zaka[emoji177]
Hili jiwe lilipatikana muda sana,lilipatikana pamoja na yale mengine yaliyooneshwa yenye thamani ya b7.8 Ila lilitaka kutoroshwa kinyamela kutokana na uimara wa vyombo vya dola pale kwenye ukuta wa Magufuli likakamatwa na mguhumiwa alikua lockup nadhani ,nliwahi kudokeza kukamatwa kwa hili jiwe.
Uzuri wa madini ukishaupata mkanda wake basi umemaliza. Ataendelea kuchimba kwa kufuata huo mkanda na ataendelea kupata madini mengi tu.
Alipata mengi na makubwa, sasa anaanza kutoa moja moja!
Au pengine isijekuwa kuna utakatishaji unafanywa na majamaa flani hivi kwa kumtumia ee?! Maana mwaka wa uchaguzi huu, btw muda utasema!
Hilo jiwe lilitoka pamoja na yale mawili plus madogo ya kilo hadi gram 500,300,200..ila aliekua anahudumia mgodi alifichwa hilo 6.3 gram...ni stori ndefu sanaHata alipotoa yale mawili. Nilikuja na uzi humu nikisema kwa structure ya yale mawe, inawezekana kuna mengine yamefichwa. So anatoa kidogo kidogo.
Hakuficha wala alikua halijui, iliekua anadhamini ndio alificha hilo jiwe huko undergroundHii aliipata mwezi kipindi anapata zile zingine. Sema hii aliificha. Sasa sijui nani alimchongea. Sema aliona anapunjwa, ni vile hawezi kusema tu ila moyoni ukweli anaujua.
Kuna % za watu zaidi ya wanne, kwa hiyo yeye ni mmiliki wa mgodi ndio maana anatajwa ila kuna waliowezesha mawe kutoka yaani walidhamini ndio wenye % kubwaBaada ya haya matangazo ya kumiliki huyu bwana apewe elimu ya kuishi na jamii, apatiwe pia ulinzi wake na mali zake.