mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 20,458
- 36,481
Baada ya haya matangazo ya kumiliki huyu bwana apewe elimu ya kuishi na jamii, apatiwe pia ulinzi wake na mali zake.Hii aliipata mwezi kipindi anapata zile zingine. Sema hii aliificha. Sasa sijui nani alimchongea. Sema aliona anapunjwa,ni vile hawezi kusema tu ila moyoni ukweli anaujua.