Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,225
- 9,185
si useme tu aliekuwa anahudumia mgodi ni Kakaa, ndio alilificha?Hilo jiwe lilitoka pamoja na yale mawili plus madogo ya kilo hadi gram 500,300,200..ila aliekua anahudumia mgodi alifichwa hilo 6.3 gram...ni stori ndefu sana
