Sandwich lady kanipokonya tonge mdomoni

Sandwich lady kanipokonya tonge mdomoni

Jaman,hata week mbili hazijapita nlisima uzi wako ati unapendwa hatari na mwana jf amekufikisha mahali hujawah fikishwa!leo una crush na mtu mwingine,ivi huwa unatunga vilee?
 
This is real what happens to Kasie

Jaman,hata week mbili hazijapita nlisima uzi wako ati unapendwa hatari na mwana jf amekufikisha mahali hujawah fikishwa!leo una crush na mtu mwingine,ivi huwa unatunga vilee?
 
Wapendwa.

Kasie mie, sina hamu na sandwich lady.

Kuna mkaka mmoja tulikutana training mwaka jana, ilikuwa training ya wiki 2, that kaka alionesha sign zote za kunidondokea ila hakusema neno hadi training ikaisha.

Hamadi!! Leo nikiwa naelekea kupata lunch tukakutana njiani baada ya salamu tukasema tuingie nearby restaurant tupate lunch na maongezi.

Ile tumeingia silverspoon, tukakutana na dada mmoja akamchangamkia jamaa na kutaka tuketi meza yake akamkatalia kuwa tunamaongezi.

Mdada akaja meza tuliyokaa akaanza kumwambia jamaa anaomba dakika 10 tuu kisha aende, kwani hata aliongea cha maana, ooh pale kazini majungu mengi, we bado mgeni pale, blah blah kibao.

Kumbe wako wote ofc moja, akamkatisha na kumwambia nikitoka hapa ntakuita uje tuongee mezani kwangu. Ile sandwich lady kaondoka, hata dakika mbili hazikuisha akapigiwa simu anatakiwa ofisini fastaa, akanyanyuka na kunikiss na kuniambia ILU!! Nikabaki nimeduwaa, i admire the guy ila sandwich lady alinizibia hata namba ya simmu sikuchukua.

I dont know if I love him but I admire him, mweeh!! Kasie mie.

We si ulisema unakaribia kuolewa,😕😕😀,au kapeperuka.
 
I will make you beg...maana ulisema mie sio

Really....!! make me beg..............???.!!!! mmmhhh

sijakuelewa umemaanisha nini bana, halafu dont take it that serious looh!!
 
We si ulisema unakaribia kuolewa,😕😕😀,au kapeperuka.

Hajapeperuka yupo, tatizo Kasie mie kujirusha kama popo usiku na kula ujana ndo naona kunanishinda kuacha yaani, crush zinanifata halafu zinanisukuma kucrush yaani sjui hata n nini, utasema nimefungwa mota....
 
Aaah...najua huwa hupendi maswali yangu. Ngoja ninyamaze ili uwe na amani dada kassie..teh!!
 
Wapendwa.

Kasie mie, sina hamu na sandwich lady.

Kuna mkaka mmoja tulikutana training mwaka jana, ilikuwa training ya
wiki 2, that kaka alionesha sign zote za kunidondokea ila hakusema neno
hadi training ikaisha.

Hamadi!! Leo nikiwa naelekea kupata lunch tukakutana njiani baada ya
salamu tukasema tuingie nearby restaurant tupate lunch na maongezi.

Ile tumeingia silverspoon, tukakutana na dada mmoja akamchangamkia
jamaa na kutaka tuketi meza yake akamkatalia kuwa tunamaongezi.

Mdada akaja meza tuliyokaa akaanza kumwambia jamaa anaomba dakika 10 tuu
kisha aende, kwani hata aliongea cha maana, ooh pale kazini majungu
mengi, we bado mgeni pale, blah blah kibao.

Kumbe wako wote ofc moja, akamkatisha na kumwambia nikitoka hapa
ntakuita uje tuongee mezani kwangu. Ile sandwich lady kaondoka, hata
dakika mbili hazikuisha akapigiwa simu anatakiwa ofisini fastaa,
akanyanyuka na kunikiss na kuniambia ILU!! Nikabaki nimeduwaa, i admire
the guy ila sandwich lady alinizibia hata namba ya simmu sikuchukua.

I dont know if I love him but I admire him, mweeh!! Kasie mie.

kasinde bana iunavituiko mara huyu kanifikisha kunako, mara kiss unanifurahishaga sana.ningejua miaka yako tu bas
 
Si wewe bana, i can feel his perfume mmmhh

I'm not tryin to be rude, but hey Kasie girl I'm feelin you
The way you do the things you do, remind me of my Lexus coup

That's why I'm all up in yo grill tryina get you to a hotel
You must be a football coach, the way you got me playin' the field

So Kasie gimme that toot toot
Lemme give you that beep beep

Runnin' ma hands through yo 'fro and bouncin on 24's

Let's sip on this coke and rum
And so what if we get drunk

It's the freakin' weekend baby so let's have some fun
 
Back
Top Bottom