tinna cute
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 4,630
- 2,315
Kasie mama wa macrush,,,,,,,,,,,
Na mr handsome wa jf akiona hii post lazima moyo ulipuke
Na mr handsome wa jf akiona hii post lazima moyo ulipuke
Mahabat bado yako pale pale ila tuu nahisi siwezi acha kupopo, hamu ya kula ujana imerudi upyaa... sjui nimechanjiwa.... maa
na situlii
Am thinking about his kiss, he said ILU but I dont have his number.... namlaani sandwich lady...
Kasinde unalo hili......haaaa unajua nimekuona kwenye treni ya mwakyembe unachat
another day another drama.....
nilidhani sandiwichi ledi ni aidi ya jeiefu...
ulitaka uniodie?
af mekumithiiiii mpk macho hayaoni!
Wapendwa,
Kasie mie, sina hamu na sandwich lady...
Kuna mkaka mmoja tulikutana training mwaka jana, ilikuwa training ya wiki 2, that kaka alionesha sign zote za kunidondokea ila hakusema neno hadi training ikaisha. Hamadi!! Leo nikiwa naelekea kupata lunch tukakutana njiani baada ya salamu tukasema tuingie nearby restaurant tupate lunch na maongezi. Ile tumeingia silverspoon, tukakutana na dada mmoja akamchangamkia jamaa na kutaka tuketi meza yake akamkatalia kuwa tunamaongezi. Hee!! Mdada akaja meza tuliyokaa akaanza kumwambia jamaa anaomba dakika 10 tuu kisha aende, kwani hata aliongea cha maana, ooh pale kazini majungu mengi, we bado mgeni pale, blah blah kibao. Kumbe wako wote ofc moja, akamkatisha na kumwambia nikitoka hapa ntakuita uje tuongee mezani kwangu. Ile sandwich lady kaondoka, hata dakika mbili hazikuisha akapigiwa simu anatakiwa ofcn fastaa, akanyanyuka na kunikiss na kuniambia ILU!! Nikabaki nimeduwaa, i admire the guy ila sandwich lady alinizibia hata namba ya simmu sikuchukua... I dont know if I love him but I admire him, mweeh!! Kasie mie...
hem do ze nyiidfulheheh...ningekuodia na hotidogi mbili atiii
mimi nimekumiso jirani, umekuwa adimu sana kila pande....