Sandwich lady kanipokonya tonge mdomoni

Sandwich lady kanipokonya tonge mdomoni

Sijaelewa hapa unamaanisha nini...
"ukifika mezani anza kula nyama, mgeni akija atapewa ukiwa unashangaa"--naikumbuka hii kauli tukiwa watoto kule kwa bibi
 
Yawezekana ikawa yupo humu huyo sandwich lady, maana alinikera kwakweli kwakunipokonya tonge mdomoni...
nilidhani sandiwichi ledi ni aidi ya jeiefu...
 
Boo yupo kama kawa, ila sandwich lady kaniharibia
Heee juzi nimekutakia kila la kheri na huyu boo wako mpya..vipi tena😕😕mwachie sandwichlady na yeye abahatike eti
 
Domo zege wamtakia nini...2 weeks kashindwa kujieleza. Hata hiyo ya chap chap imekuwa shida ya kutoa namba au kuomba namba achana nae huyo.
 
Yaweza kuwa kweli domo zege, ila his kiss...aahhh acha kabisa.

Domo zege wamtakia nini...2 weeks kashindwa kujieleza. Hata hiyo ya chap chap imekuwa shida ya kutoa namba au kuomba namba achana nae huyo.
 
Aroo nina uhaba wa videos naomba mkigegedana nije ku cover shooting!Wateja wana sumbua sana!
 
Hahahaaa soon nahamia kinyerezi ntawaletea thread za huko pia.

hivi sie wa huku gongo la mboto utatuletea lini thread zetu.... maana kila siku ushuani na abroad, hizo crush zinachagua na status lol!!!
 
Back
Top Bottom