Sandwich lady kanipokonya tonge mdomoni

Sandwich lady kanipokonya tonge mdomoni

duhh mleta thread nimemkimbiza baada ya kumwambia nimemwonaa
usiogopee endelea kutupa update za sandwich lady Kasinde
 
Last edited by a moderator:
hivi sie wa huku gongo la mboto utatuletea lini thread zetu.... maana kila siku ushuani na abroad, hizo crush zinachagua na status lol!!!
 
si umepata mchumba hapo juzi kati ukasema past is histry na tukakupongeza?????

aiseee wewe dada ni sheeeder
 
kasinde bana unatuchanganya ujue aaaghhhh hata mimi kanikera huyo bi dada kwanini kakukatili
 
Hahahaaa sio wewe bana, the guy is sweet and mtamu, kiss yake ilinidatisha...

na mie nlikua mitaa hyo hyo sasa cjui ni wewe ila haina shaka nipe namba yako tu tutakua hivyo hivyo
 
Niambie best, mi nilijua crush zimeisha loo kumbe zinaendelea...
Mr handsome wa jf ameshasoma hii habari na ameshanizoea, ananijua uchakaramu wangu...ivo
Kasie mama wa macrush,,,,,,,,,,,
Na mr handsome wa jf akiona hii post lazima moyo ulipuke
 
Hahahahahahaaaa laah!! Muone kwanzaa macho kodo kuchungulia screen za wenzio wanachat nini.
Utapofuka macho ucfanye hivo tena hehehee
haaaa unajua nimekuona kwenye treni ya mwakyembe unachat
 
"ukifika mezani anza kula nyama, mgeni akija atapewa ukiwa unashangaa"--naikumbuka hii kauli tukiwa watoto kule kwa bibi
 
nikisoma hapa na ile ya yule jamaa wa malips napata picha ulivyo mgonjwa wa kiss
 
Hadi leo kimyaa, nimeenda kupata breakfast silverspoon, nimeenda lunch hapo holla sijamuona. Hapa nawaza his kiss...
Anakusanya data akimaliza atarudi, keep on praying
 
Back
Top Bottom