Sanamu ya Msanii Diamond

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
62,197
128,127
Kwa hisani ya Mbunge wa Ulanga
1463425843770.jpg
 
Haki ya mama sijaelewa, hawa zero brain wanawakilisha nini, askari monument hajui iko pale kwa sababu ipi? So shame, huo mziki sijui wa Dimond siujui na wala sijausikiliza, but history will be known to everyone how far our ancestors fight during the first and second world War, nicar pump.
 
Kwa hisani ya Mbunge wa Ulanga
View attachment 348232
Ushawahi kuwa nyumbani na wazazi mnaangalia movie halafu ghafla inatokea sex scene watu wanapigana mabusu wanarushana kitandani... Dingi anapagawa Ile kuua soo anakuuliza "Joshua? Ushapiga pasi GARI...!!!"
Nawe ulivyochanganyikiwa unajibu
"Umeme umekatika mzee..."
 
Nashauri iwekwe ofisi za ccm Dodoma kwa mcheza shoo Wa kampeni zao ccm Dodoma wananafasi kubwa tu awatakosa pa kuiweka
 
ukisikia kichwa cha panzi ndio maoni kama hayo toka kwa mwakilishi wa wananchi walio na shida lukuki za mazao yao, afya, biashara... unakujasema mauozo namna iyo!!!
 
Yes...sanamu la Diamond.Huu mjadala usitishwe.Mimi naona kama tunalidhalilisha Bunge letu na kama inaruhusiwa ule mchango wa Mh.Mbunge ufutwe kwenye HANSARD.Viongozi wa CCM wampe semina elekezi Mh.Mbunge anaweza badilika akawa mzuri.
 
Ushawahi kuwa nyumbani na wazazi mnaangalia movie halafu ghafla inatokea sex scene watu wanapigana mabusu wanarushana kitandani... Dingi anapagawa Ile kuua soo anakuuliza "Joshua? Ushapiga pasi GARI...!!!"
Nawe ulivyochanganyikiwa unajibu
"Umeme umekatika mzee..."

Hahahahahaha mkuu nimeishia kucheka sana hadi nimepoteza hoja umefikiria mbali sana hongera!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom