Sanamu ya msanii DIAMOND na ZUCHU pale Posta Kama wasanii Namba moja wakiume na wakike hapa Tanzania

Nimeongea interms za muziki. Sasa kama unajua mziki hat a huwezi uliza mara 2.

Ila kwa kukusaidia ni kuwa zuchu akitoa nyimbo inatumia muda mrefu kutrend kuliko za diamond. Na nyimbo nyingi za zuchu zitaendelea kuishi hata akifa leo.

Mfano walikuwepo wanamziki kama mr nice ambao walihiti sana hadi kimataifa. Ila nyimbo zao zimeshakufa kabla hata hawajafa. Ila kipind mr nice nyimbo zake zinahit kimataifa kulikuwa na wakina saida kaloli, lady Hyde, afande sele, matonya, pr J, tunda, weusi, etc ambao nyimbo zao mpaka leo zinaishi. Hii ndyo maana ya mziki.

Sasa naposema kimziki zuchu anamzidi mbali diamond ndicho namaanisha.
Wewe ni zero brain
 
Ifikie hatua watu tukubali nguvu ya wakati , Jide alitamba Kwa wakat wake na mda ushamtupa mkono , ndo mana ss hv anatoa wimbo unachukua one week kupata view 100K , na mtaani hazipigwi sana,wakat Zuchu one week anascore view 7000K na mtaani kumechafuka na yupo busy na show kibao + Matangazo ya makampuni ya kumwaga .... Kuhusu Nandy inaonekana kabisa yupo kwenye Diminishing return japo anajarbu kufight back , Kwa maoni yangu Kwa support aliyo nayo anahtaji tungo tamu kukimbizna na wakat, akiendelea na manyimbo yake ya kukata mauno ataishia kuroga Sana ....Zuchu right now hashikiki ... Namba +wakati zitazidi kujibu maswali na hoja za kibishi .....!!!
Kunywa Pepsi big
 
Umeongea point kudadeki, umejaza nondo sana kwenye hii comment, ni comment bora na yenye uwelewa ndani yake umedadavua vizuri mziki unaujua sio kama mleta mada, watu wanatakiwa waelewe na sio kudhihaki jitihada za wasanii especially wakike, ushabiki mwingine ni wa kimaandazi sana na inafika mahali huawagawa wasanii na kuwajengea chuki,
Endelea kukaza fuvu
 
Huu upuuzi nyimbo Kuishi sijui muliupata wapi hata sijui ni nini hasa.

Unaposema nyimbo kuishi ni nini hao uliowaandika nyimbo zao zinaishi kivipi ujinga huu.

Alafu nyimbo za Mr Nice hazijawi kufanana na msanii wowote kukubaiskeli mfano butu uliotumia Just kwasababu Mr nice naye alikuwa Peak unazijua nyimbo za Diamond au unaandika tu Diamond ana aina mbili za nyimbo

Ukimwona
Nitampata wapi
Kesho
Mbagala
Kamwambie
Nimpende nani
Lala salama

Hizo nyimbo Zuchu kweli useme Ana nyimbo nisiishie hapa Pumbafu Na nusu umeniudhi diotic



Zuchu sio śolo artist anaimbia Bendi gani.

Pili umezungumzia Branding kwamaalezo mengi Branding ndio kilakitu baada ya kipaji wakati Zuchu anatafuta iyo Branding power Nandy alikuwa wapi, kama point ni Brand Zuchu atoke WCB na Nandy atoke Clouds tuone sio unasema WCB tu bila kujua kuna Clouds.
Fact
 
Bwege huyo jamaa atatutia njaa tu kubishana nae!

Hivi nyimbo ya Enika ya "baridi kama hii" inaweza kuwa na uzito kiasi gani compared na nyimbo zote za huyo Zunchu

Nyimbo ya "Changanya Changanya" ya Enika atafananisha na nyimbo gani kwenye album ya huyo Zunchu!

Nyimbo ambazo zilitoka kabla hata hatujajua kama kuna mtu kama Zunchu atakuja kuwa msanii. Ila zina soul you can feel them with each and every beat. Sio hizo kelele za Eyo Laizer.

Kuna nyimbo na Muziki! Hizo anazoimba Zuchu ni Miziki sio nyimbo!
Na ndo uitwa mziki Kama mwanamziki ila hakunaga mwananyimbo pumbavu mkubwa ZUCHU MAMA LAO
 
Habrini wanajamvi:

Nimesikitiahwa sana na mtu mmoja ambae ametoa ya moyoni kwa kupinga kuwa ZUCHU sio msanii namba moya wa kike hapa nchini.
Mnamkosea heshima dada Mkuu
1613163406810.png
 
Back
Top Bottom