THE WHITE ELEPHANT
Member
- Jan 15, 2012
- 93
- 13
Wadau kuna kiuno toka mombasa mji wa kimapenzi mmewahi kukutana nayo hii kitu?unaweza toa ahadi ya kumjengea mtu meli badala ya nyumba...!wanawake inabidi wajitahidi sana hasa walio ndani ya ndoa,mitihani ni mingi sana kwa kina baba,kiwango cha ufaulo kinazidi kushuka siku hadi siku.
Tanzania - Swahili Bongo Flava - Enomizzizzi Kiuno Viuno II - YouTube
Tanzania - Swahili Bongo Flava - Enomizzizzi Kiuno Viuno II - YouTube