MKWEPA KODI ishu ya hao jamaa ni kwakuwa dunia imeingiliwa dunia imekuwa contaminated na kitu kimoja kibaya mno kuna habari zake kulihusu hilo nitakuja nazo lakini huu ni utabiri na hauna budi kutimiaUmenikumbusha isis , al shababu, al quaida na bokoharamu wanavyojilipua na kuua watu wengine, kumbe huwa wanakuwa wamepata elimu hii ya kufanya mtihani na kufauli mapema
Ili ufe unahitaji kitu cha kukatisha maisha yako kwa maana ya kukufanya usipumue tena mileleKwa muktadha ya matini yako kifo ni mtihani kwa maana ya jaribio.
Ila kifalsafa kuzaliwa au kufa ni ajali...
Ya kukutoa stage moja kukupeleka nyingine.
Kuna mengi bado huyajuiyaani kufa ni stage kivp??
navonua mm kufa ni ukomo wa maish ya mtu hap dunian
.ambapo hulal akisubili hukum ya siku za mwisho
kutok kwa Mola ikiwa alitenda mema atahukumiw kwa mem
vivo hvo na kwa mabaya
ni kweli mnyama ana huruma sana hasa kwa watoto...simba hata iweje hawezi kumla mtoto mdogo wa swala ama wa binadamu....nyoka hawezi kumgonga mtoto wa swala wala binadamu na watoto wa viumbe wengine...uhayawani wa kiumbe kiitwacho mwanadamu, mnyama hawezi kufanya haya...nini basi maana halisi ya maisha? Sanaa ya kifo ina mengi ya kutafakari...!kwanini kwenye maisha kuwe na vitu vya kuumiza kiasi hiki ? kwanini mmoja aishi maisha ya raha kuanzia kuzaliwa mpaka kifo wakati mwingine akiishi maisha ya mateso kuanzia kuzaliwa mpaka kifo? ??
Binadamu pamoja na kujiita kiumbe aliyestaarabika lakini kiuhalisia hakuna hayawani kama yeye...hayawani kuzidi wanyama woteni kweli mnyama ana huruma sana hasa kwa watoto...simba hata iweje hawezi kumla mtoto mdogo wa swala ama wa binadamu....nyoka hawezi kumgonga mtoto wa swala wala binadamu na watoto wa viumbe wengine...
Watakuwa walishadesea matango pori ya kifo haoUmenikumbusha isis , al shababu, al quaida na bokoharamu wanavyojilipua na kuua watu wengine, kumbe huwa wanakuwa wamepata elimu hii ya kufanya mtihani na kufauli mapema
Mkuu asante kwa kujua umuhimu wangu ningependa kuchangia mengi ila kwasasa nina matatzo kadha wacha nipambane nayo kwanza nitarejea nikiwa sawaMchango wako ni muhimu sana hapa tafadhali