Sanaa na jinsi inavyolipa!

Sanaa na jinsi inavyolipa!

Mimi Melki

Senior Member
Joined
Mar 31, 2022
Posts
155
Reaction score
260
Naomba kuwa specific kwenye kipaji nilichonacho cha muziki!

• Kati ya bongo flaver na gospel songs, ni muziki upi ambao naweza kuufanya na nikatoka na kujulikana kirahisi?

• Vipi kuhusu namna nitakavyoweza kuu promote muziki wangu baada ya kumaliza matayarisho? (Hasahasa Audio)?

• Vipi kuhusu kuusambaza maredioni? Na gharama zake? Na ni watu wapi natakiwa kuonana nao?

• Muziki unamlipaje msanii baadae pindi atakapofanikiwa? Au ndo napoteza muda tu?

Mawazo yenu tafadhari!
 
Nukta ya kwanza kati bongo flaver na gospel “ mziki wowote kati ya hiyo unaweza kukutoa na ukapata kipato.. inategemea na wewe mwenyewe jinsi unavyoufanya mziki wako na watu unaowalenga uwafikie dhamira na maudhui yako.
 
Fanya unachopenda, we call it passion pesa zitafuata baadae ila ukifocus kwenye ela utakuwa disappointed

Focus on art then business baadae
 
Back
Top Bottom