Giovanni Mugillanetza JF-Expert Member Joined Jul 24, 2023 Posts 951 Reaction score 1,993 Oct 11, 2025 #1 Picha imechanwa Usiku na kwa usiri mkubwa mno. Asubuhi Saa mbili watu 14 washakamtwa. Ajabu Ben Saanane ni miaka sasa Hadi leo hiiii, waliomshambulia Lissu. Netflix Intel ? Turudi mstarini tuponye Taifa. Uwezo Tunao Kupona Lazima.
Picha imechanwa Usiku na kwa usiri mkubwa mno. Asubuhi Saa mbili watu 14 washakamtwa. Ajabu Ben Saanane ni miaka sasa Hadi leo hiiii, waliomshambulia Lissu. Netflix Intel ? Turudi mstarini tuponye Taifa. Uwezo Tunao Kupona Lazima.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 178,479 Reaction score 196,227 Oct 11, 2025 #2 Inasikitisha sana... Cc: Mahondaw