Samweli Sitta ni Mgonjwa

Status
Not open for further replies.
Pole nyingi Mzee wa kasi na viwango vya kuchakachua katiba mpya, there is very little sympathy from some of us, ulitukera na kutusaliti beyond measure! None theless get well soon uendelee kuishuhudia Tanzania yetu inavyodidimia!
 
Huyu MZEE kati ya watu Wabaya katika Taifa letu ni pamoja na huyu mzee, Hizi taarifa za kuugua tu hazitoshi kuwa njema, aki R I P ndo itakuwa taarifa njema zaidi kuwahi kutokea katika uso wa ardhi ya Tz.Ni mtu mbaya sana.
 
UGUA POLE Mzee Samwel Sitta. Pole sana Diana Sitta umefanya vizuri kuelezea hali halisi ya mzazi wako
 
Kumbuka yeye alikuwa msimamizi tu na hakuwa ndiye mwenye kufanya maamuzi ya mwisho. Ila wale wabunge wa bungee maalumu la katiba ndio wa kulaumiwa kwa ujumla wao.
Aiseee, kumbe unakubaliana kwamba "wajumbe" wetu wa Bunge la katiba walituharibia katiba yetu? Maana UKAWA walionekana ni wahuni mbele ya wabunge wa CCM na wafuasi wao. Kumbuka UKAWA ulitokea hapo baada ya kuona wajumbe hao unaowelezea wanakubaliana kukanyaga maoni ya waTanzania.
 
Hapo ameteguka tu mguu, thread iko page ya 7.
 
Unachosema ni kweli kabisa na ndio maana mimi binafsi nilikuwa nawaunga sana mkono UKAWA kwa jinsi walivyokuwa wanasimami katiba pendekezwa ya wananchi. Ila mnh baadae mambo yakabadilika. Anyway nawaelewa lakini. Target ya mwanasiasa siku zote ni moja tu na siasa ni kazi kama zilivyo kazi nyingine na tukumbuke nao wanatafuta kipato vile vile.
 
Huruma ya nini? Unajua huyu mzee ameathiri vizazi vingapi kwa kuichakachua rasimu ya katiba ya warioba. Mwache avune maovu aliyoyasimamia
hitajio kuu la tanzania kama nchi siyo katiba,iwe ya warioba au ponda,bali hitajio kuu ni kuimarisha kilimo na viwanda vyake,elimu na biashara
 
Huyu mzee wa Katiba Pendekezwa anaugulia wapi, Urambo au Dar? Namuombea kwa Mungu amjalie maisha marefu ili ashuhudie katiba yake inavyomtafuna yeye mwenyewe, kizazi chake na watanzania kwa ujumla.
 
All in all, baada ya hiyo baadaye katiba ya wananchi ilikanyagwa na wajumbe waliobaki ndani ya Bunge la katiba na wakaiandaa hiyo waliyoiita pendekezwa. Sasa tuwaunge mkono hawa wa pendekezwa au wale wa UKAWA? Au tusubiri neema za Mungu?
 
All in all, baada ya hiyo baadaye katiba ya wananchi ilikanyagwa na wajumbe waliobaki ndani ya Bunge la katiba na wakaiandaa hiyo waliyoiita pendekezwa. Sasa tuwaunge mkono hawa wa pendekezwa au wale wa UKAWA? Au tusubiri neema za Mungu?
Wote wa moja tu wanaangalia maslahi zaidi. Hapo kwenye nani wa kumuunga mkono nadhani inategemea na mapenzi ya mtu binafsi. Ndio maana leo kuna wale washabiki kindikindaki hata kama Chama kinaboronga vipi wenyewe wapo. Kwa hiyo ushabiki wa siasa nowadays upo sana kama Simba na Yanga.
 

Hapo maana yake tubaki kusubiria neema na mapenzi ya Mungu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…