Juzi nilipita nakuona bandiko ya kwamba Samweli Sitta ni mgojwa..
Lakini baadae kwenye pita pita zangu nikaona Bandiko jengine huko faceboo kutoka kwa mwanae Sitta ambae anaitwa Diana Sitta,Nikasema nije niwajuze wana jamii wenzangu..
Bandiko la Diana Sitta hapo facebook lilikuwa na maneno yafuatayo;-
This is too much!naomba kufafanua hiki kichwa cha habari.baba yangu Mh Samuel Sitta.siku ya trh 7 akiwa anashuka ngazi kwa bahati mbaya aliteleza na kuumiza mguu wake wa kulia.kuamka siku ya pili mguu ulivimba na akashindwa hata kuukanyagia.Alienda hosp na kufanyiwa vipimo dactari alisema hajavunjika ila mguu umeshtuka hivyo utapona taratibu kulingana na umri wake mifupa si imara sana:hivyo ameanza mazoezi hamna ugonjwa unaousisha yeye kutotembea.na sasa anaendelea vizuri kwani alikuwa hawez kukanyaga chini kwa kutumia huo mguu ila sasa angalau ameanza hata kuukanyagia.habari nyingi huwa tunapuuzia ila mambo yanapopitiliza inatulazimu tuongee kidogo.
asante..