General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,316
- 23,178
Wakuu habari hii imeandikwa na gazeti la Tanzania Daimaa, Aliyekuwa spika wa bunge la 9 Ndugu Samweli sitta ni mgonjwaa mpaka kutoweza kutembeaa. Mke wake adai anaendelea vizuri.
.
Bado naendelea kulisoma nilete habari kamili
My take..
Sijui kama serikali inalijua hilii
Na nina hakika kuanzia kesho au leo tutaanza kuona misafara ya viongozi kumtembeleaa kwa unafiki uliotukukaa
=======
.
Bado naendelea kulisoma nilete habari kamili
My take..
Sijui kama serikali inalijua hilii
Na nina hakika kuanzia kesho au leo tutaanza kuona misafara ya viongozi kumtembeleaa kwa unafiki uliotukukaa
=======
Diana Sitta said:This is too much! naomba kufafanua hiki kichwa cha habari, baba yangu Mh Samuel Sitta siku ya trh 7 akiwa anashuka ngazi kwa bahati mbaya aliteleza na kuumiza mguu wake wa kulia, kuamka siku ya pili mguu ulivimba na akashindwa hata kuukanyagia. Alienda hospital na kufanyiwa vipimo daktari alisema hajavunjika ila mguu umeshtuka hivyo utapona taratibu kulingana na umri wake mifupa si imara sana.
Hivyo ameanza mazoezi hamna ugonjwa unaousisha yeye kutotembea na sasa anaendelea vizuri kwani alikuwa hawezi kukanyaga chini kwa kutumia huo mguu ila sasa angalau ameanza hata kuukanyagia. Habari nyingi huwa tunapuuzia ila mambo yanapopitiliza inatulazimu tuongee kidogo.