Samweli Sitta augua ghafla, alazwa

Status
Not open for further replies.
are you 6,
ok! Nikutakie afya njema katika haya mapambano mazito yaliyombele yako.
Tukopamoja mzee mwenzangu,wagogo wote tunakuombea.

Acha ujinga na umeshasikia Sitta yuko kwa tabibu
 
Inafahamika wazi kuwa ccm ni mashetani, cha msingi hapo apigiwe kura kama kawaida hata kama yupo hospitali, swala si atarudi, tatizo liko wapi, kwani wameambiwa atakufa, ccm ni kiboko aise, na wote mnaoishabikia ccm, jueni mnayashabikia mashetani.
 
heeh,mbona Sitta huyu hapa bungeni japo ana mafua.Manyerere punguza ukanjanja.mods piga ban huyu pimbi
 

Mbona kama wazee wa 'sumu baridi' wamehusika !!!!
TANZANIA YETU INAPEPERUKA
 
Huyo BANSO kama sio mjukuu wa Mzee asiye na dini basi atakuwa ndiye anatumia ipad ya huyo gwagula kwani hiyo ipad hutumiwa kuroga watu kidigital.

kwani prof. maji marefu na kingunge wapo kundi gani?.inaonekana hii nchi inaendeshwa kwa mikataba ya kichawi mno.
 

Mkuu Pasco hata kama ungepaka rangi hayo maneno yako na kuyawekea marembo ya aina gani bado wewe ni wa upande usiompenda na kumkubali Samwel Sitta.

Upande uuliopo ni wa Lowassa na hili halihitaji maono ya ya
T.B Joshua. mbaya zaidi umekutana na swahiba wako Abubakar Liongo ambaye ameajiriwa na Lowassa kwa kazi moja tu ya kumsfiisha kwa gharama yoyote!

Si kwamba namchukia Lowassa nooo iisipokuwa najaribu kuonnesha wazi unafik wako Pasco!
 
Last edited by a moderator:
Hata ya Tengeru atawaletea muakikishieni maslahi kwanza

Acha basi kimbelefronti bibie sijakuuliza wewe mbona unawashwa?
Au uu mliberali? Tafuta waliberali wenzio.
 
Taarifa kutoka kwa msimamizi wa uchaguzi wa Bunge la Katiba amesema 'waliotimiza masherti ya kugombea ni wawili ambao ni Hasheem Rungwe na R. J. 6' na watachaguliwa kwa kura za siri.

Sitta upo fit anatoka nje ili kupisha mgombea mwenzake ajieleze.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…