Samweli Sitta athibitisha Richmond ni ya Kikwete

Samweli Sitta athibitisha Richmond ni ya Kikwete

Suala la Richmond lilishafungwa..tafuteni suala lingine kima nyie
 

Mbona manzuri yanayofanywa na CCM, wapinzani hawayapongezi? Huyo huyo Lowassa wenu mbona hapongezi manzuri yaliyofanywa na CCM?

Na kama mradi wa maji yeye ndio aliusimamia iweje anakataa uozo wa Richmond kuwa siyo yeye aliyeusimamia?

Elimu Elimu na Elimu! Manzuri ndo nn?ungeandika mara moja ningesema umekosea bt kurudia tena manzuri??? C bure utakua kweny ile asilimia 69 ya twaweza
 
Mkuu wewe akili yako kama ya nyumbu tu ulichoandika ndiyo nini wa kiazi kweli.

Mradi wa Richmond msimamizi wake na mtengenezaji ni Lowasa na ndio sababu hata kamati teule ya Mwakyembe walithibitisha hivo bungeni. Lowasa akashindwa kujibu hoja.

Yaani wewe ulichofanya ni kuchanganya kunde maharage pili pili ulezi ngani na ukwaju. Sijui tukusaidieje maana huna unalolielewa

TATIZO NI
Elimu
Elimu
Elimu
 
Hizi siasa za siasa kweli!!
Kwenye maji shy kila Mrad lazma uwe approved na prezd kwenye Richmond inagoma c na wenyewe ulikuwa mrad au mm ndo sielew na sidhani kama waziri anaweza lazimisha mrad upite na rais amekataa ...!!!
 
Hapa patamu sana.
Yani kila kinachofanywa na ccm kinageuka na kuwa shubiri kwao wenyewe.
 
Suala la Richmond lilishafungwa..tafuteni suala lingine kima nyie

Kima ni umoja au wingi??na nyie umoja au wingi?? Najua ukishindwa kujib lazima utukane tena#education..na utuambie richmond kaifunga nani koz hyo ndo salamu ya ccm kweny kampen
 

Mbona manzuri yanayofanywa na CCM, wapinzani hawayapongezi? Huyo huyo Lowassa wenu mbona hapongezi manzuri yaliyofanywa na CCM?

Na kama mradi wa maji yeye ndio aliusimamia iweje anakataa uozo wa Richmond kuwa siyo yeye aliyeusimamia?

Aliusimamia yeye sawa chini ya maelekezo ya nani?
 
Kama mradi ulibuniwa 1956 na kutekelezwa 2000s chini ya Lowassa haoni hapo anazidi kumpa Lowassa credit....

Pili, hakuna popote pale Lowassa alisema alibuni huo mradi bali yeye amefanya utekelezaji. Kitu ambacho kiliwashinda marais na mawaziri wengi kuvunja mkataba wa wakoloni

Kama alivyofanya utekelezaji wa ujenzi wa shule za sekondari kila kata.
Kwahakika Lowassa ni Mtu wa maamuzi, utendaji na siyo blah blah nyingiiii.
 
nimeipenda hiyo picha ya mtu kujichagulia adhabu. hiyo kachagua mwenyewe, asubiri ntutakayompa oct. 25
 
Ambacho hujakielewa ni nini?
Leo mko Shinyanga kwakua mnajua kabisa Lowasa ndio aliwaondolea adha ya maji mnawadanganya Wananchi kua Mkapa ndie aliesimamia kila kitu na Lowassa hausiki na mafanikio ya mradi huo ambao ni mkombozi kwa wananchi wa Wilaya zote lilipopita Bomba hilo.
Swali langu kwako iweje Richmond abebeshwe zigo Lowassa pekee wakati mnadai hakuna kinachofanywa na Waziri bila uhusika wa Rais?

Mwenye akili amekuelewa ila wabishi wao ni kubishi tu big up mtoa uzi
 
Mkutano wa CCM unaendelea na kwa kauli aliyotoa Sitta muda huu kuhusu mradi wa Maji toka Ziwa Victoria kwenda Mkoani Shinyanga ambao kila mmoja anajua Mh. Lowasa ndio aliusimamia vema mpaka ukakamilika pamoja na vitisho vya Misri.
Bila aibu Sitta anasema mradi huo ulibuniwa kabla ya Uhuru 1956 na mwaka 1996 kwa ushirikiano na Uholanzi walitaka kutekeleza mradi huu tatizo like wa ni pesa ndipo Mkapa akaamrisha zitumike pesa za ndani.
Je kwa maneno ta Sitta issue ya Richmond ilikuaje inafanyika pasipo uhusika wa Rais?
Au mazuri yanayofanywa na Waziri sifa ni kwa Rais ila kashfa itakayofanyika mzigo ni kwa Waziri?

Mkuu swali lako linamashiko sana ila siyorahisi watu wenye akiri fupi wakakuelewa kirahisi. Jaribu kuendelea kuwafafanulia maybe wataambulia.

Wamezoea kukalilishwa kilakitu. Wenye akiri tumekuelewa, najibu nijepesi tu kwamba nikweli Reachmond niya Jk ndomaana hata report yakamati yabunge ilisema wazi kwamba waliamua kuficha baadhi ya taarifa ilikuokoa serikali.

Hata mwanangu mdogo wadarasa la5 ukimuuliza kamati hapo ilimaanisha nini atakupa jibu fasaha.
 
Back
Top Bottom