Samweli Sitta athibitisha Richmond ni ya Kikwete

Aljazera

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2015
Posts
637
Reaction score
224
Mkutano wa CCM unaendelea na kwa kauli aliyotoa Sitta muda huu kuhusu mradi wa Maji toka Ziwa Victoria kwenda Mkoani Shinyanga ambao kila mmoja anajua Mh. Lowasa ndio aliusimamia vema mpaka ukakamilika pamoja na vitisho vya Misri.
Bila aibu Sitta anasema mradi huo ulibuniwa kabla ya Uhuru 1956 na mwaka 1996 kwa ushirikiano na Uholanzi walitaka kutekeleza mradi huu tatizo like wa ni pesa ndipo Mkapa akaamrisha zitumike pesa za ndani.
Je kwa maneno ta Sitta issue ya Richmond ilikuaje inafanyika pasipo uhusika wa Rais?
Au mazuri yanayofanywa na Waziri sifa ni kwa Rais ila kashfa itakayofanyika mzigo ni kwa Waziri?
 
Mama Regina Lowassa akiwa na wanawake kwa wanaume walio hudhuria mkutano wake ulio lenga kuwasikiliza wanawake wa Rudughai (tambalale) Masama....

Mama Lowassa kasema wakati wa mabadiliko ni sasa... Hakuna wakati zaidi ya leo...!

Mytake: This is what we call "door to door"

CC... Bukanga

.....................
 
Mkutano wa CCM unaendelea na kwa kauli aliyotoa Sitta muda huu kuhusu mradi wa Maji toka Ziwa Victoria kwenda Mkoani Shinyanga ambao kila mmoja anajua Mh. Lowasa ndio aliusimamia vema mpaka ukakamilika pamoja na vitisho vya Misri.
Bila aibu Sitta anasema mradi huo ulibuniwa kabla ya Uhuru 1956 na mwaka 1996 kwa ushirikiano na Uholanzi walitaka kutekeleza mradi huu tatizo like wa ni pesa ndipo Mkapa akaamrisha zitumike pesa za ndani.
Je kwa maneno ta Sitta issue ya Richmond ilikuaje inafanyika pasipo uhusika wa Rais?
Au mazuri yanayofanywa na Waziri sifa ni kwa Rais ila kashfa itakayofanyika mzigo ni kwa Waziri?
Mkuu wewe akili yako kama ya nyumbu tu ulichoandika ndiyo nini wa kiazi kweli.
 
Kama mradi ulibuniwa 1956 na kutekelezwa 2000s chini ya Lowassa haoni hapo anazidi kumpa Lowassa credit....

Pili, hakuna popote pale Lowassa alisema alibuni huo mradi bali yeye amefanya utekelezaji. Kitu ambacho kiliwashinda marais na mawaziri wengi kuvunja mkataba wa wakoloni
 
Mkirudisha ccm kila kitu kitarudi nyuma said I ya hapa
 
Mkuu wewe akili yako kama ya nyumbu tu ulichoandika ndiyo nini wa kiazi kweli.

Nadhani uko kwenye kampeni za Magufuli au unafatilia kupitia TV Mgombea wako amethibitisha tena saiv kwani amenukuu kauli za Sitta kua ukiona Kiongozi anajisifia amefanya hivi huyo ni mbinafsi na akaendelea zaidi kwa kusema hakuna kitu anachofanya Waziri bila baraka za Kiongozi wake ambaye ni Rais na wanaongea yote hayo ili kuwaaminisha Watanzania kua Lowasa hakupeleka maji Shinyanga.
Swali langu kwenu kama hakuna kinachofanywa na Mawaziri bila usimamizi au ushiriki wa aliyewateua vipi Swala la Richmond liwe ni la Lowassa pekee?
 
Kama hujakiona alichokiandika , haina haja ujilazimishe kuwemo humu Jf! Unaweza ukajishughulishe na mambo mengine!
Kama huyu umemwita Nyumbu , basi atakua Nyumbu dume , na wewe Nyumbu jike usubiri muda wa uzazi akusimike mbegu !
Eti kiazi ! Akiwa kiazi wewe utakua Tikitimaji subiri upelekwe pwani !
 
Nadhani uko kwenye kampeni za Magufuli au unafatilia kupitia TV Mgombea wako amethibitisha tena saiv kwani amenukuu kauli za Sitta kua ukiona Kiongozi anajisifia amefanya hivi huyo ni mbinafsi na akaendelea zaidi kwa kusema hakuna kitu anachofanya Waziri bila baraka za Kiongozi wake ambaye ni Rais na wanaongea yote hayo ili kuwaaminisha Watanzania kua Lowasa hakupeleka maji Shinyanga.
Swali langu kwenu kama hakuna kinachofanywa na Mawaziri bila usimamizi au ushiriki wa aliyewateua vipi Swala la Richmond liwe ni la Lowassa pekee?

Mradi wa Richmond msimamizi wake na mtengenezaji ni Lowasa na ndio sababu hata kamati teule ya Mwakyembe walithibitisha hivo bungeni. Lowasa akashindwa kujibu hoja.
 
Mkutano wa CCM unaendelea na kwa kauli aliyotoa Sitta muda huu kuhusu mradi wa Maji toka Ziwa Victoria kwenda Mkoani Shinyanga ambao kila mmoja anajua Mh. Lowasa ndio aliusimamia vema mpaka ukakamilika pamoja na vitisho vya Misri.
Bila aibu Sitta anasema mradi huo ulibuniwa kabla ya Uhuru 1956 na mwaka 1996 kwa ushirikiano na Uholanzi walitaka kutekeleza mradi huu tatizo like wa ni pesa ndipo Mkapa akaamrisha zitumike pesa za ndani.
Je kwa maneno ta Sitta issue ya Richmond ilikuaje inafanyika pasipo uhusika wa Rais?
Au mazuri yanayofanywa na Waziri sifa ni kwa Rais ila kashfa itakayofanyika mzigo ni kwa Waziri?

Yaani wewe ulichofanya ni kuchanganya kunde maharage pili pili ulezi ngani na ukwaju. Sijui tukusaidieje maana huna unalolielewa
 
Mkutano wa CCM unaendelea na kwa kauli aliyotoa Sitta muda huu kuhusu mradi wa Maji toka Ziwa Victoria kwenda Mkoani Shinyanga ambao kila mmoja anajua Mh. Lowasa ndio aliusimamia vema mpaka ukakamilika pamoja na vitisho vya Misri.
Bila aibu Sitta anasema mradi huo ulibuniwa kabla ya Uhuru 1956 na mwaka 1996 kwa ushirikiano na Uholanzi walitaka kutekeleza mradi huu tatizo like wa ni pesa ndipo Mkapa akaamrisha zitumike pesa za ndani.
Je kwa maneno ta Sitta issue ya Richmond ilikuaje inafanyika pasipo uhusika wa Rais?
Au mazuri yanayofanywa na Waziri sifa ni kwa Rais ila kashfa itakayofanyika mzigo ni kwa Waziri?
Dah.....unaakili nying sana za kufafanua mambo. Ngoja washtuke na hilo
 
Mradi wa Richmond msimamizi wake na mtengenezaji ni Lowasa na ndio sababu hata kamati teule ya Mwakyembe walithibitisha hivo bungeni. Lowasa akashindwa kujibu hoja.

Mradi wa Maji toka Ziwa Victoria kwenda Mkoani Shinyanga msimamizi na mtekelezaji ni nani?
 
Ole wenu mkiirudisha ccm madarakani mjue kabisa Tanzania itakuwa imeuzwa taslimu kwa manyang'au...!!

Jukumu zito la kuiondoa ccm halipaswi kuachwa mikononi mwa vizazi vijavyo...!! Labda iwe hivyo kama sisi hatujijali..!!

AMKA EWE MTANZANIA ONDOA CCM KWA AJILI YA MANUFAA YA VIZAZI VYA SASA NA BAADAYE!!
 
Back
Top Bottom