SAMWEL SITTA hatima yako ipo Chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SAMWEL SITTA hatima yako ipo Chadema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gudlucky, Apr 6, 2011.

 1. Gudlucky

  Gudlucky Member

  #1
  Apr 6, 2011
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu Mh. Samwel Sitta, napenda kutumia nafasi hii kukupa taswira halisi ya kile nionacho mimi katika swala zima la siasa.

  Katika tafakari yangu kwa muda sasa juu ya maisha yako kisiasa, huku nikifuatilia matukio mbalimbali yanayokupata, hatimaye nimekuja kutambua/kugundua kuwa, mwisho wako ni tofauti na mwanzo wako. Nimegundua kuwa, ijapokuwa ulianza siasa kupitia CCM, Utamaliza siasa hiyo kupitia CHADEMA. Kwa nini?: CCM ni chama kisichozingatia haki ya wananchi na Taifa lao {Tanzania} na badala yake huangalia maslai yao wenyewe. Hivyo basi kutokana na Wewe Kupenda Haki itendeke kwa watu wote, na kusimama kikamilifu, kwa ujasiri na uaminifu uloambatana na ushupavu thabiti kutetea haki na maslai ya watanzania kinyume na mafisadi hawa, umekuwa mwiba ktk chama hiki CCM hata kufikia kukupa vitisho vya kukuvua uanachama, kukuvua nafasi za uongozi (mfana ulezi wa vijana Tabora-UVCCM), Kukuondoa ktk kiti cha usipika na mengine mengi. Hii inaonyesha kuwa wewe si sehemu ya mafisadi kwa maana ufanani nao kabisaaa.

  Ufuatao ni msemo wangu ambao hupenda kuutumia kwamba, Panya na Paka hawawezi kukaa pamoja na kula chakula sahani moja kwa sababu mtazamo wa paka ni kumla panya. Hivi ndivyo ilivyo kwako wewe na wazalendo waaminifu wanavyoonekana kwa CCM, ipo siku moja watakula kama walivyowala wengine ambao hatunao duniani tena.

  Chadema ni Chama cha watu wote, kinatetea haki za watu na taifa lao. Nguvu ya chadema iko kwa umma ili kuitetea umma hiyo ktk mchakato mzima wa kupata haki yao. Chama hiki kina mtazamo ule ule ulionao wewe; Ndugu Mh. Sitta, peke yako huwezi kusalimika ndani ya mafisadi hao wengi ktk kutetea watanzania. Hatima yako ipo chadema, sasa ni wakati wako kung'atuka CCM kuja CDM kuwapigania watanzania. Na huu ndio ukweli halisi. 2015 ni mwaka wa kurudisha haki ya watanzania iliyopotea kwa miaka mingi sasa kupitia CDM na wewe ni mmoja wapo kati ya hao. Come to people... power, you are meant to destiny here.

  W E L C O M E
   
 2. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #2
  Apr 6, 2011
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  CHADEMA ndiko nyumbani kwa wapambanaji wa Kweli.Si kwa Sitta tu na hata kwa watu wasafi kwenye vyama vingine.Mwenye hulka ya Kifisadi hawezi kukaa ndani ya CHADEMA kwa Raha.Hiyo ndiyo Reality
   
 3. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #3
  Apr 6, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  popote alipo anaweza kutetea mtanzania, si lazma awe cdm.
   
 4. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #4
  Apr 6, 2011
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Ni vigumu kusukuma gari ukiwa ndani.....
   
 5. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #5
  Apr 6, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,085
  Trophy Points: 280
  ...mpambanaji au waziri wa EAC!!!???
   
 6. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #6
  Apr 6, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  "if u cannot fight your enemeies then join them"
   
 7. Gudlucky

  Gudlucky Member

  #7
  Apr 6, 2011
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Si vigumu isipokuwa HUWEZI kabisa kusukuma gari ukiwa ndani ya gari hilo.
   
 8. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #8
  Apr 6, 2011
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Mtu anweza kuwa Waziri na bado akawa mpambanaji,kilichoongelewa ni hatima yake kisiasa.upambanaji si wa kimatukio,ni wa kimchakato
   
 9. Shalom

  Shalom JF-Expert Member

  #9
  Apr 6, 2011
  Joined: Jun 17, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  ......... Mara mbili tayari sidhani kama atajaribu ya tatu!
   
 10. J

  Joblube JF-Expert Member

  #10
  Apr 6, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 367
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  SITA wasikudanganye kaa kwanza huko mpaka 2015 alafu utoke ghafla ukitoka sasa completely you will die.
   
 11. Gudlucky

  Gudlucky Member

  #11
  Apr 6, 2011
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  It is not meaningful to live anyware doing everything, but it is wise to live where you meant to and do what you are meant to. Si kila mahali panafaa mtu kuwa na akaleta mabadiriko chanya. Pia kumbuka mwewe hawezi kumsaidia kuku kulea vifaranga hata kama watakaa pamoja lazima atavitafuna vyote. CCM hawawezi kumsuport Sitta kutetea watanzania, lazima watammaliza aidha kwa kumziba kinywa au kum.... Alafu, kidole kimoja akiunji chawa. Pia si kila udongo unaofaa kwa kuotesha mbegu na kukuza mmea. CCM si udongo unaoifaa mbegu hii (Sitta) kukua na kuleta matunda kwa watanzania.
   
 12. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #12
  Apr 6, 2011
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Kuwa CCM tu tayari ni umejiwekea kizingiti cha kuwatetea Watanzania
   
 13. Gudlucky

  Gudlucky Member

  #13
  Apr 6, 2011
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  It is not meaningful to live anyware doing everything, but it is wise to live where you meant to and do what you are meant to. Si kila mahali panafaa mtu kuwa na akaleta mabadiriko chanya. Pia kumbuka mwewe hawezi kumsaidia kuku kulea vifaranga hata kama watakaa pamoja lazima atavitafuna vyote. CCM hawawezi kumsuport Sitta kutetea watanzania, lazima watammaliza aidha kwa kumziba kinywa au kum.... Alafu, kidole kimoja akiunji chawa. Pia si kila udongo unaofaa kwa kuotesha mbegu na kukuza mmea. CCM si udongo unaoifaa mbegu hii (Sitta) kukua na kuleta matunda kwa watanzania.
   
 14. Yahemovich

  Yahemovich Senior Member

  #14
  Apr 6, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 173
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapa ni self actualisation na uamuzi binafsi. Ng'ombe halazimishi kunywa maji.
   
 15. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #15
  Apr 6, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,605
  Trophy Points: 280
  Asubiri kwanza kwa sasa awe na vuguvugu tu na malengo kwanza....akitoka sasa watamuua..utashangaa takukuru wako nae kila dakika..'KUsema aliiba pesa alipokuwa speaker,.....watamzushia zengwe wampe kesi ahangaike nayo!!
   
 16. Gudlucky

  Gudlucky Member

  #16
  Apr 6, 2011
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwenye Haki, hutafuta haki mpaka aipate haijalishi kaangushwa mara ngapi, akiinuka lake ni moja tu Haki. Na Upiganiaji wa haki ni mchakato yaani tendo endelevu lisilokoma wala kukomeshwa na mtu yeyete mpata kinachotafutwa kipatikane. Usiogope, yupo kwa ajili ya watanzania.
   
 17. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #17
  Apr 6, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  mkuu ina maana atafanya kama akina jeri muroo, au akina Tdo Mhando?
   
 18. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #18
  Apr 6, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  "CHADEMA SI MAHALA PA KUKIMBILIA, CHADEMA NI MAHALA PA WAPIGANAJI, UKIMWONA MTU KAKIMBILIA CHADEMA UJUE YEYE KAJITOA KTK UFISADI. MH. SITTA KARIBU KTK UWANJA WA WAPIGANIA UHURU WA CDM" by Gsana,2011.
   
 19. Gudlucky

  Gudlucky Member

  #19
  Apr 6, 2011
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hatumdanganyi, na sina maana kwamba aondoke sasa hivi, ninachozungumzia ni HATIMA yake. Yeye ni mzalendo mpenda haki, na CCM ni wabinafsi mafisadi, kuna tofauti hapa. Hata kama ataendelea kuwa ccm kutokana na alivyo kwao ni CHADEMA, Hiyo ndiyo hatima yake, akilazimisha kuwa ccm siku moja watam......
   
 20. m

  msambaru JF-Expert Member

  #20
  Apr 6, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  Mzee 6 nenda nao kiaina 2014 karibu chamani uje kuwa mgombea wetu wa kiti cha uraisi tukimbize TZ mpk mafisadi wapukutike.
   
Loading...