SAMWEL SITTA hatima yako ipo Chadema

SAMWEL SITTA hatima yako ipo Chadema

"if u cannot fight your enemeies then join them"
Nakubaliana nawe kabisa, ukitoka huko nje utaonekana mpinzani kazi yako kupinga tu, husikilizwi kabisa. Watakuita mlalamishi. Join them uwajue vilivyo.
 
Chadema ni chama cha wasafi kinamkaribisha kila mtanzania mwenye nia ya dhati ya harakati za ukombozi ili tuweze kukomboa nchi yetu nadhani Mr. 6 na jopo lake la wapambanaji wanalitambua hilo ila bado wako kwenye tafakuri ya namna ya kuikacha thithiem.
 
Watanzania tusiwe wasahaulifu kiasi hicho, chambueni wasifu wake kabla ya kushabikia. Tafuta wasifu wake katika matumizi ya mali ya umma alipokuwa mkuu wa cda, tic, waziri wa ujenzi etc ndipo tufanye ushabiki wa haki
 
wanaofaa kuwa chadema ni watu watatu tu
SITA, MWAKYEMBE NA MAGUFULI HAO WENGINE NI VILAZA

Yaani kama mkulo simpendi natamani ningekua israel nimwondoshe
 
TULIZA BOLI WAPIGANAJI WETU NDANI YA CCM-UFISADI (BARA NA VISIWANI) WAMEJAA TELE MPAKA JUA KUCHOMOZA KUTUTANGAZIA UKURASA MPYA KISIASA NCHINI!!!!

Wapiganaji wetu wanaowajali sana Umma Tanzania bado wamejaa tele kama pishi la ubwabwaa ndani CCM-Ufisadi. Hakika kwa kuzingatia mbinu za vita kwa kawaida uwanjani, wala sitarajii kuwaona wakivuka kuja CDM leo maana uwepo wao mle kwa siku zaidi ni ushindi mkubwa sana dhidi ya MAFISADI.

Kutatokea re-allignment au kipindi cha wanasia nchini kujipanga upya ndani ya vyama huko kipindi kifupi kabla ya 2015 na hapo ndipo nguvu ya umma pamoja na nguvu ya CHADEMA itakapodhihirika wazi na mchele kujitenga na pumba (Watetezi wa maslahi ya taifa watakapojitenga kuondokana na kundi la MAFISADI) katika zile za majeruhi ambapo mafisadi hawataweza kujitutumua wala kubadilisha kitu tena nchini kisiasa.

Hayo mahesabu ya kisayansi umeyasoma uzuri mzee??? Huwa kunatokea wakati ambapo hata fedha hukosa thamani yake iliozoeleka. Wakati huu ni siri kubwa ya ushindi kwetu sisi Umma wa Tanzania; hivyo tuliza boli hadi hapo usimwage mi-panya wengi kwenye Bundi kibao!!!!!
 
Kuna wakati vita vinaweza kuanzia ndani ingawa itawezekana zaidi kama ulitokea nje kwanza,hii strategy aliwahi kutumia raila odinga alipojiunga na Kanu na baadaye kutoka
6 atapima nafasi yake na mkakati wa kufanikiwa katika mapambano,ndani ndani au nje ndani
 
Tunahitaji watu watakaopambana kutokea ndani. Six aendelee kubaki humo ili abanane nao humohumo. Hatuwezi kuwaachia mafisadi serikali. Yaani ngedere atuachishe ulinzi hata tumwachie shamba lote? Kama tunataka kuvuna mabua basi tufanye hivyo!
 
Huyu ni fisadi tu uliza waliofanya naye cda, tic, ujenzi na hata matumizi yasiyofaa akiwa spika
 
Back
Top Bottom