Samwel Sitta, Harison Mwakyembe, Bernard Membe: Huu ndio ufisadi mbaya kuliko wote

Nakubaliana na wewe reasoning capacity ya Membe ni ndogo mno, licha ya kuwa balozini kwa miaka 8 ona anavyojibu maswali hapa!

mwakyembe.sitta.membe. Kuweni na taadhari kubwa hawa ni mafisadi wameanza kutumia mbinu kujisafisha na nyie msilubali jibuni mapigo nyie ndio tegemeo la.wana ccm tafadhalini sana msikae kimya kwani mafisadi wameshafanikiwa kutumia.vuvuzela za.wapinzani.mfano gazeti la.tanzania.daima la.leo.ndio.limeandika.huu upupu
 
Last edited by a moderator:
Ha ha haaaaa Chaggas Development Manifesto (CHADEMA) ndio viongozi wenyewe hawa mlio nao kweli wa kushika dola
acha siasa za ukabili kumbuka hata chama.chetu kina matatizo mfano unamtoa baba kwenye secretariet unamwingiza mtoto maana.yake nini
 
mwakyembe.sitta.membe. Kuweni na taadhari kubwa hawa ni mafisadi wameanza kutumia mbinu kujisafisha na nyie msilubali jibuni mapigo nyie ndio tegemeo la.wana ccm tafadhalini sana msikae kimya kwani mafisadi wameshafanikiwa kutumia.vuvuzela za.wapinzani.mfano gazeti la.tanzania.daima la.leo.ndio.limeandika.huu upupu

Huu ni utoto ambao mamluki pekee ndiyo wanaoweza kuukubali. Hivi wewe kwa akili yako unataka kusema kwamba Lowassa ana uwezo wowote wa utendaji au kujieleza? Ni lini wewe umewahi kumsikia Lowassa akifanya hata mahojiano na mwandishi yeyote wa nje au hata akitoa mhadhara kwenye kikundi chochote hata cha wasomi kumi? Huyu ni mtu ambaye hajui chochote cha kitaaluma au uongozi zaidi ya digrii yake ya sanaa za maonyesho na kunengua. Hivi wewe unadhani kuna mtu ambaye anamuona Lowassa ni tishio kwenye chochote ambacho kinashindaniwa kwa merit?

Kwa jinsi ulivyo na ufinyu wa fikra unadhani Mwakyembe alinyimwa uwaziri kwa sababu ya support yake kwa Mwandosya? Kwani hiyo ni dhambi? Kama ni dhambi kwa nini rais alimteua Mwandosya mwenyewe kuwa waziri, au akina Nsazugwanko na wengineo waliokuwa wanamuunga mkono Malecela? Au unataka kusema Hawa Ghasia, Masha na wengineo wana uwezo kuliko hao akina Membe unaowasema? kwa taarifa yako kama ingekuwa ni kufuata vigezo na haki Sitta alistahili kuwa Waziri Mkuu kuliko huyu mwizi wenu. Ukitaka kujua kwamba Lowassa hakuwa na uwezo wa kuzuia uteuzi wa Membe, alishindwa kufanya hivyo alipoteuliwa kuwa waziri wa Foreign Affairs 2007. Ndugu yangu ambaye umebadilisha jina ili uje kivingine baada ya kujivua gamba lako la awali unajaribu kupima kina cha maji baada ya kuona kwamba jamaa yako hakubaliki, ni vizuri urudishe ujumbe kwamba huku maji yamejaa. Huyu ambaye ana-black list watu kwa sababu ya kumueleza ukweli ndiye mwenye bifu na wenzie hata kufikia hatua ya kuhusishwa na njama za kutaka kuendesha mauaji kwa hofu ya ushindani wa 2015. Sisi tunajua pumba na mchele na katika hili unajidanganya, rudini huko Habari Corporation na Tanzania Daima siyo hapa.
 
Mbopo heshima kwako mkuu! Hata hivyo unapata shida kubishana na makanjanja na majeshi ya kukodiwa wakidhani kwamba humu JF watu watakubali kugeuzwa dekio. Ukweli ni kwamba Lowassa ana chuki za milele na watu hawa nadhani wanajua kwamba mtu huyu akiingia madaraka, kazi ya kwanza ni kusaini hati ya kuwafunga wale wote waliompinga. Hata hivyo uzuri ni kwamba hatakuwa Rais wa nchi hii kamwe.

Hii thread inakosa sifa za kuwa ni kitu cha kuvuta mjadala hivi lakini kwa sababu nia yetu ni kuondoa pepo wote wachafu tunalazimika kujibu na kubainisha kwamba hakuna ushahidi wa dhahiri wa mtindio wa ubongo kama huu tunaoushuhudia kwenye thread hii. Sema utakavyosema lakini ukweli unabaki kwamba Tanzania bila Lowassa inawezekana!
 
Samwel Sita, Ana Killango ,Harison Mwakyembe na wengine kadhaa mliokuwa mnajiita mitume kumi na wawili hamna lolote wala hapakuwa na ufisadi wowote mliokuwa mnajifanya wapiganaji wa ufisadi bali maslahi binafsi .Tulijaribu kusema kwamba sita alikuwa na hasira na lowasa kwa sababu alinyimwa uwaziri Mkuu kwa kuwekewa" kauzibe" na lowasa

Tukasema mwakyembe alikuwa kambi ya mwandosya na ana hasira kwa wanamtandao kumkosesha mtu wake Urais, Tukasema Bernard Membe alikuwa na hasira na Lowasa kwa sababu Serikali ya kwanza ya Jk alipewa Unaibu uwaziri kwa sababu Lowasa alikuwa anamwelewa vizuri Membe kuwa ana uwezo mdogo (Reasoning capacity yake ni ndogo) ,Mama kilango yeye ana hasira na lowasa kwa sababu Malecela alikosa Urais.Naamini hata leo ukifanywa uchunguzi huru itathibitika kwamba kila mmoja wenu kwenye mitume 11 alikuwa na maslahi ambayo yalikwamishwa na Lowasa ndio maana wakajiunga kummaliza mzee mwenye mvi nyingi kichwani

Haya yamethibitika baada ya sita kuteuliwa uwaziri na akakubali ,uteuzi wa Rais sio wa lazima unaweza kuukataa tena kwa lugha nzuri ambayo haitamkwaza Rais.Lakini kitendo cha Sita na Mwakyembe kukubali kimethibitisha kuwa hawa ni watu hatari kuliko hata waliokuwa wanawatuhumu ,CCM ni walewale wakizidiana wanatumia kila fursa Kumalizana ?ni mfano wa vibaka waliokwenda kuiba walipopata cheni ya dhaabu walioishika wakawaingiza wenzao mjini.walichofanya walioingizwa mjini wakaenda kuwaripoti waliowaingiza mjini polisi .Ndicho mlivyofanya pale mwlipowaripoti mafisadi wenzenu wananchi wakawapigia kelele wakajiuzulu halafu nyinyi mkaingia serikalini kuendelea kula

Sasa Rais Kamteua Mrindoko mliemtuhumu kwa Ufisadi,sita na Mwakyembe wameteuliwa na Rais na Mrindoko kateuliwa na Rais ngoma droo na bado wanaendelea kubaki kwenye serikali hiyo hiyo ya Mbayuwayu huu ndio ufisadi mbaya kuliko wote

This is incredibly substandard and absolute rubbish. Hivi wewe unadhani unaweza kuja na analysis ambayo ni shallow and biased kama hii ili utufanye sisi tupoteze mwelekeo juu ya tatizo halisi la chuki za huyu slave master wako kwa hao anaowapinga? Unajua kwa wenye akili wanajua kwamba impunity na all other forms of fleecing has the capacity to fight back and the best way is to use stiff necked fools like you. Wewe kama unadhani kwamba Sitta na Mwakyembe kukubali uteuzi ni usaliti, sisi tunajua hicho ndicho kilio cha huyu mkubwa wako ambaye alikuwa anazunguka usiku na mchana kufanya lobbying wasiteuliwe na ikiwezekana wateuliwe cronies wake na hili liliposhindikana basi ndiyo hizi frustrations hizi tunazozishuhudia. Na bado!
 
Samwel Sita, Ana Killango ,Harison Mwakyembe na wengine kadhaa mliokuwa mnajiita mitume kumi na wawili hamna lolote wala hapakuwa na ufisadi wowote mliokuwa mnajifanya wapiganaji wa ufisadi bali maslahi binafsi .Tulijaribu kusema kwamba sita alikuwa na hasira na lowasa kwa sababu alinyimwa uwaziri Mkuu kwa kuwekewa" kauzibe" na lowasa

Tukasema mwakyembe alikuwa kambi ya mwandosya na ana hasira kwa wanamtandao kumkosesha mtu wake Urais, Tukasema Bernard Membe alikuwa na hasira na Lowasa kwa sababu Serikali ya kwanza ya Jk alipewa Unaibu uwaziri kwa sababu Lowasa alikuwa anamwelewa vizuri Membe kuwa ana uwezo mdogo (Reasoning capacity yake ni ndogo) ,Mama kilango yeye ana hasira na lowasa kwa sababu Malecela alikosa Urais.Naamini hata leo ukifanywa uchunguzi huru itathibitika kwamba kila mmoja wenu kwenye mitume 11 alikuwa na maslahi ambayo yalikwamishwa na Lowasa ndio maana wakajiunga kummaliza mzee mwenye mvi nyingi kichwani

Haya yamethibitika baada ya sita kuteuliwa uwaziri na akakubali ,uteuzi wa Rais sio wa lazima unaweza kuukataa tena kwa lugha nzuri ambayo haitamkwaza Rais.Lakini kitendo cha Sita na Mwakyembe kukubali kimethibitisha kuwa hawa ni watu hatari kuliko hata waliokuwa wanawatuhumu ,CCM ni walewale wakizidiana wanatumia kila fursa Kumalizana ?ni mfano wa vibaka waliokwenda kuiba walipopata cheni ya dhaabu walioishika wakawaingiza wenzao mjini.walichofanya walioingizwa mjini wakaenda kuwaripoti waliowaingiza mjini polisi .Ndicho mlivyofanya pale mwlipowaripoti mafisadi wenzenu wananchi wakawapigia kelele wakajiuzulu halafu nyinyi mkaingia serikalini kuendelea kula

Sasa Rais Kamteua Mrindoko mliemtuhumu kwa Ufisadi,sita na Mwakyembe wameteuliwa na Rais na Mrindoko kateuliwa na Rais ngoma droo na bado wanaendelea kubaki kwenye serikali hiyo hiyo ya Mbayuwayu huu ndio ufisadi mbaya kuliko wote

Maskini weee! Baba bidhaa unayoinadi imekosa mnunuzi. Utaipeleka wapi maana imechina na sasa kila mtu kaishtukia. Lowassa ni mzigo na harakati zako za kumtetea ni sawa na kukata mbuyu kwa wembe au kujaza pipa kwa mkono! Ni bora kutulia watu wamsahau ili angalau asifikishwe segerea au ukonga.
 
Nchi imejaa usanii mtupu,tatizo la Mwakyembe/Samuel Sitta na Anna Kilango pia na baadhi ya walio ccm wengi wao ni waoga sana kupambana vita vya ufisadi kwa vitendo lakini kwa maneno hawajambo.Nnapata ukakasi hapa je ni wapoozwa na pesa/uongozi au nini basi kinawafanya wanashindwa kuchukua maamuzi kwa vitendo?

Nani kakwambia walio wengi ni waoga wakati ndio mafisadi wenyewe?
 
Huu uzushi hauwezi kuzima moto wa mapambano dhidi ya adui huyu mbaya katika kizazi cha leo. Mapacha hawa watatu waliofanikiwa kujipenyeza hadi kwenye upinzani watafanya harakati nyingi sana kujinasua lakini mbinu zinazotumika ni za kitoto sana kiasi cha kwamba hata mtoto wa darasa la tano anajua kwamba hizi ni harakati za kujitakasa na wakati huo huo kuwamwagia uchafu wenzao. Ukweli unabaki kwamba washikaji ni virusi ambavyo vinatakiwa kupigwa vita kama vile vya polio.
 
Hebu tuondolee ushamba wako hapa. Unajaribu kutuambia kitu ambacho tunakifahamu kwa ufasaha wa hali ya juu. Hivi wewe machoni mwako, ni nani mwenye uchungu kati ya huyu Mungu wako na uliowataja. Kwa taarifa yako sasa hivi watu wanajiuliza kama nchi hii ingekuwa Pakistani mtu huyu asingekuwa anafanyiwa misa ya kumbukumbu ya kifo chake kwa jinsi anavyochukiwa. Sasa anahamisha mada na hoja ili ashikilie kamba ya Mrindoko kwa sababu tu ya hasira zake za mkizi zilizomfanya auteme uwaziri mkuu na huku anaupenda. Atulie tuwaone watanzania wengine wenye uadilifu wanavyosukuma maendeleo bila kujali matumbo na vizazi vyao kwanza.
 
Nakubaliana na wewe reasoning capacity ya Membe ni ndogo mno, licha ya kuwa balozini kwa miaka 8 ona anavyojibu maswali hapa!

lnakera sana kwa jinsi mapacha watatu walivyofanikiwa kuchomeka viwavi humo jamvini
 
Last edited by a moderator:
Inamaana wewe hujui kuwa ile richmond ni kesi ya kupika, Ilipikwa Vatican na mwakiyembe mwenyewe akishirikiana na wakatoliki wenzie na mkuu wa kaya baada ya kuona hakuna mkatoliki hata mmoja katika nafasi tatu muhimu baada ya Lowasa kujiuzulu ndo akapatikana yule mkatoliki ndo wametulia ila bado wanachuki na Rais kwa kuwa ni muislamu.:happy:
mmh...there are still people behind the scene,wapo zama za kwanza za mawe wakati huo binadamu anawaza kuokota na kula tu..napita tu mkuu.
 
Inamaana wewe hujui kuwa ile richmond ni kesi ya kupika, Ilipikwa Vatican na mwakiyembe mwenyewe akishirikiana na wakatoliki wenzie na mkuu wa kaya baada ya kuona hakuna mkatoliki hata mmoja katika nafasi tatu muhimu baada ya Lowasa kujiuzulu ndo akapatikana yule mkatoliki ndo wametulia ila bado wanachuki na Rais kwa kuwa ni muislamu.:happy:
haya mawazo yako ni mafupi kupita maelezo ulimuona mtu yoyote anaetumia udini kujenga hoja huyo mtu ana matatizo ya akili
 
Nakubaliana na wewe reasoning capacity ya Membe ni ndogo mno, licha ya kuwa balozini kwa miaka 8 ona anavyojibu maswali hapa!

Rev. nimekubaliana na wote wanaoliona hili la huyu jamaa kuwa brain gb zake ndogo mnooo!
hivi kweli nchi hii haina watu wa kufanya hizi kazi/kushika nyadhifa hizi?
Eee Mungu tuangazie mwanga katika hili!!
 
Last edited by a moderator:
CDM kwa kujifagilia hatuwawezi!!! Wewe bwana tupe mikakati yenu ya kutatua kero Ubungo, tangu tumewapa jimbo, mpo busy na maandamano endelevu badala ya kushughulikia mahitaji wa wapiga kura.

Hii nayo ni dalili ya elimu duni ya uraia. Kuwa busy na maandamano endelevu ni sehemu ya mikakati ya kushughulikia mahitaji ya wapiga kura maana kama serikali inaendelea kutanua na semina elekezi wakati wananchi wanakufa na njaa na kushamiri kwa matatizo mengi ya kijamii ikiwemo ukosefu wa maji salama, barabara, ulinzi nk na wakati huohuo serikali ni kiziwi, njia pekee iliyobaki kwa wapinzani ni kufanya maandamano endelevu hadi kieleweke..
 
Kwamba Richmond hapakuwa na ufisadi wowote! Nina wasiwasi na ubongo wako. Wahi hospitali wauchunguze
 
Hoyce unahangaika bure. Hatibiki huyo maana ugonjwa wake unaongezewa na njaa aliyo nayo na ndiyo maana haoni aibu kujidhalilisha kwa kuongea uharo ili kulipa madeni yake. Ambacho hajui ni kwamba humu JF ukiwa kiwavi unagundulika kirahisi na sisi hatutachoka kufanya spraying ili kuwaangamiza wasiendelee kufanya uharibifu. Vita dhidi ya hawa jamaa ndiyo kwanza vimeanza na ku-attack personalities hakutasaidia kamwe.
 
Mwambene
Kubali Bosi wako Bernard Menbe ana reasoning Capacity ndogo
 
Ha ha haaaaa Chaggas Development Manifesto (CHADEMA) ndio viongozi wenyewe hawa mlio nao kweli wa kushika dola

Acha ku-insult watu wewe..kuna watu humu ni wanachama wa Chadema/wanaisupport Chadema ingawa hata Kilimanjaro hawapajui! Ni mawazo kama haya ya watu kama nyinyi yanayonifanya niwe na wasiwasi na uwezo wenu wa kufikiria.. You cant reason-not at all! Hivi watu mlisoma shule za wapi? Kwanini usijenge hoja ya kutomkubali Mbowe au Chadema bila kulihusisha kabila lake? I am afraid..watu kama nyinyi..you are in trouble..big trouble...maana mmezoea vya mtelemko..sasa mkihitajika kufikiria kwa kutumia ubongo....ndo mnaanza kutumia kadi za ukabila/udini/ukanda..etc...Please stop this nonsense. Make your case against Chadema kwa kutumia hoja..acha huu ujinga wa 'sweeping statements'
 
Back
Top Bottom