Samwel Sitta, Harison Mwakyembe, Bernard Membe: Huu ndio ufisadi mbaya kuliko wote | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Samwel Sitta, Harison Mwakyembe, Bernard Membe: Huu ndio ufisadi mbaya kuliko wote

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ogwari, May 11, 2011.

 1. O

  Ogwari Member

  #1
  May 11, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Samwel Sita, Ana Killango ,Harison Mwakyembe na wengine kadhaa mliokuwa mnajiita mitume kumi na wawili hamna lolote wala hapakuwa na ufisadi wowote mliokuwa mnajifanya wapiganaji wa ufisadi bali maslahi binafsi .Tulijaribu kusema kwamba sita alikuwa na hasira na lowasa kwa sababu alinyimwa uwaziri Mkuu kwa kuwekewa" kauzibe" na lowasa

  Tukasema mwakyembe alikuwa kambi ya mwandosya na ana hasira kwa wanamtandao kumkosesha mtu wake Urais, Tukasema Bernard Membe alikuwa na hasira na Lowasa kwa sababu Serikali ya kwanza ya Jk alipewa Unaibu uwaziri kwa sababu Lowasa alikuwa anamwelewa vizuri Membe kuwa ana uwezo mdogo (Reasoning capacity yake ni ndogo) ,Mama kilango yeye ana hasira na lowasa kwa sababu Malecela alikosa Urais.Naamini hata leo ukifanywa uchunguzi huru itathibitika kwamba kila mmoja wenu kwenye mitume 11 alikuwa na maslahi ambayo yalikwamishwa na Lowasa ndio maana wakajiunga kummaliza mzee mwenye mvi nyingi kichwani

  Haya yamethibitika baada ya sita kuteuliwa uwaziri na akakubali ,uteuzi wa Rais sio wa lazima unaweza kuukataa tena kwa lugha nzuri ambayo haitamkwaza Rais.Lakini kitendo cha Sita na Mwakyembe kukubali kimethibitisha kuwa hawa ni watu hatari kuliko hata waliokuwa wanawatuhumu ,CCM ni walewale wakizidiana wanatumia kila fursa Kumalizana ?ni mfano wa vibaka waliokwenda kuiba walipopata cheni ya dhaabu walioishika wakawaingiza wenzao mjini.walichofanya walioingizwa mjini wakaenda kuwaripoti waliowaingiza mjini polisi .Ndicho mlivyofanya pale mwlipowaripoti mafisadi wenzenu wananchi wakawapigia kelele wakajiuzulu halafu nyinyi mkaingia serikalini kuendelea kula

  Sasa Rais Kamteua Mrindoko mliemtuhumu kwa Ufisadi,sita na Mwakyembe wameteuliwa na Rais na Mrindoko kateuliwa na Rais ngoma droo na bado wanaendelea kubaki kwenye serikali hiyo hiyo ya Mbayuwayu huu ndio ufisadi mbaya kuliko wote
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Nakubaliana na wewe reasoning capacity ya Membe ni ndogo mno, licha ya kuwa balozini kwa miaka 8 ona anavyojibu maswali hapa!

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Mikael P Aweda

  Mikael P Aweda JF Gold Member

  #3
  May 11, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 2,934
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kimsingi Sitta na Mwakyembe wasipojiuzu baada ya uteuzi wa mrindoko ina maanisha kuwa walikuwa wanafanya usanii kwa kudandia hoja ya chadema ya ufisadi. Au maelezo ya kwenye thread hii ni ukiweli mtupu. Kazi kwao. Upepo wa mwaka 2015 utawashinda hata kwa ngazi ya ubunge.
   
 4. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  CDM kwa kujifagilia hatuwawezi!!! Wewe bwana tupe mikakati yenu ya kutatua kero Ubungo, tangu tumewapa jimbo, mpo busy na maandamano endelevu badala ya kushughulikia mahitaji wa wapiga kura.
   
 5. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #5
  May 11, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Acha wivu wa kike mkuu ! na wasiwasi wewe ni mchicha mwiba
   
 6. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #6
  May 11, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ha ha haaaaa Chaggas Development Manifesto (CHADEMA) ndio viongozi wenyewe hawa mlio nao kweli wa kushika dola
   
 7. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #7
  May 11, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hebu tukumbushe imeandikwa hivyo kwenye mathayo ngapi vile?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #8
  May 11, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Nchi imejaa usanii mtupu,tatizo la Mwakyembe/Samuel Sitta na Anna Kilango pia na baadhi ya walio ccm wengi wao ni waoga sana kupambana vita vya ufisadi kwa vitendo lakini kwa maneno hawajambo.Nnapata ukakasi hapa je ni wapoozwa na pesa/uongozi au nini basi kinawafanya wanashindwa kuchukua maamuzi kwa vitendo?
   
 9. M

  Mdau NO 1 Member

  #9
  May 11, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hili nalo neno...na kwa mara nyingine Lowassa akambana Sitta kuukosa U-spika
   
 10. Halfcaste

  Halfcaste JF-Expert Member

  #10
  May 11, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 973
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Una upungufu tu wa uelewa maana kitaalam "nothing goes for nothing" "History makes man not man who make history" Nikitumia hizo quotes sijaona wanachokosea!!! wabaki kuitwa wapiganaji kama wapiganaji wengine!!
   
 11. Uliza_Bei

  Uliza_Bei JF-Expert Member

  #11
  May 11, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 3,109
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Na sasa Jk anawaita wasaliti kama hawataki kushirikiana na serikali waondoke!!!!! Hata hivyo namshangaa JK kama kweli ana uwezo wa kuteua na kufukuza si awafukuze tu badala ya kuhangaika kusemasema bila kuchukua hatua? JK Hawezi kuwafukuza ila pia naamini wao pia(hao watendaji) hawana uwezo wa kuondoka CCM maana ni wanafiki
   
 12. F

  Francis Jr Senior Member

  #12
  May 11, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 145
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Inamaana wewe hujui kuwa ile richmond ni kesi ya kupika, Ilipikwa Vatican na mwakiyembe mwenyewe akishirikiana na wakatoliki wenzie na mkuu wa kaya baada ya kuona hakuna mkatoliki hata mmoja katika nafasi tatu muhimu baada ya Lowasa kujiuzulu ndo akapatikana yule mkatoliki ndo wametulia ila bado wanachuki na Rais kwa kuwa ni muislamu.:happy:
   
 13. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #13
  May 11, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Hebu tukumbushe huyu Mrindoka yu aje. Ili tuweze kuwaona vizuri akina Mwakyembe.:A S cry:
   
 14. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #14
  May 11, 2011
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  huyu nae sijui katokea wapi. bora uongelee hoja iliyopo mezani. hakuna mwenye chuki na jmk kwa sababu ya uislam wake. hatuna mtu anayemtazama jk na kumwona mwislam zaidi ya waislam wenyewe. jk kikatiba ndo rais wetu na mapungufu yake hayana uhusiano wowote na dini yake. hata credits zake (kama anazo) hazina uhusiano wowote na dini yake. simwelewi kabisa mtu anayem-assess jk kwa dini yake. hakuwekwa pale kuendeleza udini wala kukandamiza dini yoyote. kama anafanya hivyo litakuwa tatizo lake binafsi na wala si la dini yake
   
 15. THINKINGBEING

  THINKINGBEING JF-Expert Member

  #15
  May 11, 2011
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 2,726
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 280
  Hizi hoja ni za kupeleka mirembe unaweza kupata watu wa kuzisikiliza.
   
 16. J

  Joblube JF-Expert Member

  #16
  May 11, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 367
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hapo kwenye red umetumia ubongo wa ngombe kutamka hivyo wewe ni Ngo....
   
 17. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #17
  May 11, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Matatizo ya kutojua leo utakula nini ndio yanasababisha watu wanakuwa na akili kama hii...
   
 18. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #18
  May 11, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  umeielewa thread? Au umelewa?
   
 19. Mumwi

  Mumwi JF-Expert Member

  #19
  May 11, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 592
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  . Wewe ni kiwavi jeshi cha Mukama Huns lolote katafute tu chakula ule ukalale huna lolote la maana.
   
 20. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #20
  May 11, 2011
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Kamteua kuwa nani?
   
Loading...