Samwel Sitta ampiga bao Lowassa urais 2015


Uzuri wa hapa JF hata JK anaweza kujisajiri na asifahamike, hebu angalia hii thread inaonyesha kabisa huyu anaweza akawa ni Sita mwenyewe au mkewe
 
Aliyepigwa bao katika huu upatanishi ni Kikwete na serikali yake, aliunda wizara mpya chini ya Wassira inaitwa sijui uratibu wa mahusiano ya jamii or some crap like that. Lakini huyo waziri wa mahusiano ya jamii kazi yake kulala hadharani, akishtuka usingizini kazi yake ni kuanzisha beef na jamii mbali mbali, vyombo vya habari, vyama vya siasa, wabunge wenzie... utakuwaje na waziri wa mahusiano ya jamii kazi yake kuchochea beef?
 
Hahahahahah
kwan 6 anaijua JF?
Uzuri wa hapa JF hata JK anaweza kujisajiri na asifahamike, hebu angalia hii thread inaonyesha kabisa huyu anaweza akawa ni Sita mwenyewe au mkewe
 
Tatizo lake huyu mzee ni kigeugeu..lakini asingekua kigeugeu anafaa kabisaa
 

Mh! Kwanini umekubali kutumiwa? Umelipwa Tzs ngapi?
 
kwahiyo hapa unatushauri Lowasa ndiye anafaa zaidi kwa uraisi 2015?

Si suala la nani anafaa na nani hafai. Ni suala uwazi na ukweli zaidi kuhusu kila mmja wao. Kwa hao wawili uzuri wao unapimwa kwa feedback zao na siushabiki wa kisiasa na umamuliki usio kuwa na manufaa kwa nchi.
 

between sitta & lowassa, kwa kipimo chochote kile, lowassa can never be worse than sitta.
so kama ni uraisi, wote hawafai. period.

nakushauri nenda ukamwambie sitta wako kuwa watanzania tunaona afadhali mwizi tunayemjua ni mwizi na hivyo kuwa na uwezo wa kumdhibiti na kumpa mkong'oto kuliko mnafiki ambaye bila sisi kujua anaweza kuwa kumbe pia ni mwizi, malaya, muuza unga, dictator, etc na akatufanya kitu mbaya zaidi!.
 

Kwani kuna tatizo gani kati ya Lema na Lyimo?

 
Humjui Wasira wewe! Kwa taarifa yako huyo ndiye anayewanyima cdm usingizi, mtamponda sana kwa kuwa ni threat kwenu.
kaa chini kijana, tafuta data za Wasira uje nazo, nahisi bado unawaza kishule-shule.
kama humjui Wasira nashauri uwe kimya usikurupuke.
 
Afadhali sasa hivi kila thread inaihusu CCM..CDM imeanza kupotea kwenye jukwaa letu la siasa.

Pole kaka! Kumbe zile zinazohusu CDM zinakunyima usingizi! ahaa kweli,huwezi kulala maana lazima ufanye chini juu kuharibu hiyo thread hata kama inamaslahi kwa taifa zima.

Hata hivyo hii thread haiihusu CCM Wala CDM, inawahusu Samweli sitta,Lyimo,na Lema....
 
asanten ndu zangu wa jamiiforum kwa mapambano dhidi ya wabay wa maendeleo nami ntakuwa pmoja nayi katika mapambano tushirikiane
 
asanten ndu zangu wa jamiiforum kwa mapambano dhidi ya wabay wa maendeleo nami ntakuwa pmoja nayi katika mapambano tushirikiane
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…