kutoka wapi?wana kaya kuna tetesi
pita pita yako wapi?katika pita pita yangu
we need source of the story na sio habari za kufikirika.kuwa mkuu wa kaya anataka kumpatia mh. 6 uwaziri fulani ilikumpoza na machungu ya kukosa nafasi ya kugombea uspika wa jmt kwa tiketi ya ccm
wait he is going to be PM
Utawala wa mkapa Jackson Makwete alikaa benchi 10 years hii ni baada ya kusema aliwahi kumpa karipio Mh Sumaye wakati wa kujadili hotuba ya kumuhizinisha Sumaye awe waziri Mkuu. kati ya wabunge 329, why only Mh Sitta; wako wengi wa kupewa uwaziri. Labda wampe kile cheo cha kuongoza kamati ya usalama alichokuwa nacho Malechela
wana kaya kuna tetesi katika pita pita yangu kuwa mkuu wa kaya anataka kumpatia mh. 6 uwaziri fulani ilikumpoza na machungu ya kukosa nafasi ya kugombea uspika wa JMT kwa tiketi ya ccm.